Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa kuhusu sababu ya vifo vyao, kama ambavyo wabuge wengine kabla ya Covid19 walipofariki, sababu za vifo vyao hazikutolewa na ofisi ya bunge, ndugu ndio wenye jukumu la kutaja sababu iliyosababisha kifo cha ndugu yao, hiyo ulisikia toka wapi kwamba ni complications za kupumua?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hahahah!!we mbona unadandia treni kw mbele
 
Sasa na hile picha unapaswa kuweka yenye kuonyesha nyumba zenyewe zionekane, hata kama ni mbovu, barabara zionekane hata kama zinamashimo, wewe unaweka picha barabara hazionekane kama kuna mashima au madimbwi, hata kituo cha Mwrndokasi kinaonekana roof tu, weka picha kituo cha mwendokasi kionekane sura yake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Zile sio slums bana bwana joto, yale ni maghorofa yaliyokatiza pande zote
 
kumbe walikufa...? ,tena kwa complications...?..
aisee mi hizo taarifa hata sizifahamu ,we ndiye mtu wa kwanza kunipa hiyo taarifa....

asante sana kwa kunijuza dokta wanjigu
Yamekulemea sasa umeanza kujeuzia gear angani..

Pole sana
 
Ina
Inakaa tu juakali type,,Thika Ni superhighway,10-12 lanes
images (16).jpeg
images (17).jpeg
 
Back
Top Bottom