mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
umefika dar lini!!!Ugua pole pole[emoji1787][emoji1787]
Barabara za dar cbd km za sijui mogadishu
umefika dar lini!!!Ugua pole pole[emoji1787][emoji1787]
Barabara za dar cbd km za sijui mogadishu
Asante kwa render 😅😅😅 eti 30floorsPia this one is under excavation,,30flr, still kilimani
View attachment 1641495
Asante kwa render 😅😅😅Under excavation pia,18flr kilimani
View attachment 1641498
Utashikwa na pressure bure, elite residence tower, 20 floors.[emoji23][emoji23] Hii pia iko kando ya GTC.Asante kwa render [emoji28][emoji28][emoji28]
Jamaa wababaishaji sn hawa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]interchange ya kupanga matofali
View attachment 1641481
Hahahaaaa hebu quality[emoji3516][emoji3516]vs [emoji116][emoji116][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]22 flr+22flr nearing completion,kileleshwa Nairobi
View attachment 1641486
Hahahaaaa hebu quality[emoji3516][emoji3516]vs [emoji116][emoji116][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1641567
Serikali ya uhuru inajaribu kufanya kile GoT inafanya ila mengine inashindikana [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23] vip tena.. wamemfanya nn huyu jamaa
‘Respect us!’ President Kenyatta warns foreign countries against meddling in Kenyan affairs https://www.jamiiforums.com/index.p...s-against-meddling-in-Kenyan-affairs.1816796/
Kenyatta ameamua kutuiga sisi,hajui kama sisi tumeshindikana tangu enzi za nyerere,[emoji23][emoji23] vip tena.. wamemfanya nn huyu jamaa
‘Respect us!’ President Kenyatta warns foreign countries against meddling in Kenyan affairs https://www.jamiiforums.com/index.p...s-against-meddling-in-Kenyan-affairs.1816796/
ishaelezwa ndiyo maana hata wewe umelifahamu hilo,,ndiyo maana nimekuambia kama unajua hiyo complications imetokana na nini zaidi ya hapo utujuze.....inawezekana ukawa unajua zaidi pia inawezekana wews ni ndugu wa marehemu, , unajua mengi kuliko tusikiavyo....Ilitakiwa serekali yenu ndio itueleweshe hzo complications zimesababishwa na nn..
Lkn mpka leo zii
Utajuzake mtu ambae tayari ameambiwa hivi yeye tayari anasema hana covid na wakati jamaa hakupimwa...ishaelezwa ndiyo maana hata wewe umelifahamu hilo,,ndiyo maana nimekuambia kama unajua hiyo complications imetokana na nini zaidi ya hapo utujuze.....inawezekana ukawa unajua zaidi pia inawezekana wews ni ndugu wa marehemu, , unajua mengi kuliko tusikiavyo....
karibu maadam utujuze kiundani
Kuhusu mm kufika lini dar ndio kutapanua vile vichochoro vya pale postaumefika dar lini!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kwa akili yako unadhani dar haijengwi imesimama....Mwambie Nairobi is a construction site[emoji23][emoji23][emoji23]
Here is another tower coming up next to GTC.
View attachment 1641555
View attachment 1641558
A weeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ushawahi kuona wapi city isiyokuwa na vichochoro!??
Ukiona city haina vichochoro,ujue hiyo bado katika sekta ya majengo,yaani haijajengeka.
hope vitakuwa vyembamba sana kuliko hata nunu yako.Kuhusu mm kufika lini dar ndio kutapanua vile vichochoro vya pale posta
unazunguka sana......nishakwambia mimi hizo tasrifa sizijui ,,we ndiye unayezijua basi hebu tupe kiundani ili jamii tujue....Utajuzake mtu ambae tayari ameambiwa hivi yeye tayari anasema hana covid na wakati jamaa hakupimwa...
Kaa utulie basi
Tuletee main roads za hapo posta tujifurahishe[emoji1787][emoji1787]Sidhani hata kama anafahamu maana ya vichochoro [emoji23][emoji23][emoji23]
Samehe hiyo takataka bure.
hilo hatuwezi kukataa.A weeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mlifeli kupangilia jiji lenu bana
Uchochoro katika ubora wake[emoji1787][emoji1787]Hahahaaaa hebu quality[emoji3516][emoji3516]vs [emoji116][emoji116][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1641567