[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatimae wamejinyea
Sisi tutakopa mpaka 150%[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni umbumbumbu wa kutojua appraisal steps za projects towards actualization. Sikushangai!Kwani bado EIA haikuwa imetoka? Duh! Mradi huu unajikokota sana. Kwa mwendo huu mradi huu utakamilika 2030.
Mbna mnakwepa kuleta vile vichochoro vya dar[emoji1787][emoji1787]Nairobi is full of ugly buildings..there is nothing that nairobi can challenge dar-es-salaam,but i can list the lot of things in dar to challenge nairobi,such as beautiful buildings,public transport,social services like clean water,proper housing and land,number of millionaires,billionaires,stadium,football clubs,beaches and hotels etc
Ilitakiwa serekali yenu ndio itueleweshe hzo complications zimesababishwa na nn..unanilazimisha wakati sijui,,,,
wewe ndiye uliyeleta hizo habari,,,,sasa inabidi ueleweshe jamii
hivyo unatakiwa ulete wewe kama ambavyo sisi tunakuletea vya nairobi.Mbna mnakwepa kuleta vile vichochoro vya dar[emoji1787][emoji1787]
Hile Mzizima tower imechukua 4 years kujenga kweli?[emoji23][emoji23]imechukua 4yrs kujenga majengo yote marefu dsm.
so hiyo league tunajua hamtuwezi,hivyo saa hizi wacha tuguse miundombinu kwanza.
i hop hii itakuwa ya pili kwa urefu baada ya ile pinnacle.
haijengwi 3yrs now imesimama,but kazi iliyobaki hata wewe unaezamalizia[emoji16][emoji16].Hile Mzizima tower imechukua 4 years kujenga kweli?[emoji23][emoji23]
Bwahaha[emoji1787][emoji1787]mlisahau wakati mlikua mnaturingishia na ushubwada wenu wa zile towers tatu..Wenzetu wamekazana na majengo cc tumekazana na miradi ya kumgusa mwananchi wa chini kabisa na bado wanaaamini tutakuwa ligi moja, labda Yesu arudi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Pili pili usiyoila yakuwashiani..hzo nguvu zote unatumia ili kukwepa kuleta vile vichochoro vya dar[emoji1787][emoji1787]AFRICA DEBT RISK MAP
View attachment 1641227
Court issues but itaendelea after tumerudisha yule Mganda kwao. Yeye ndio kichwa ngumu hapo[emoji23][emoji23]haijengwi 3yrs now imesimama,but kazi iliyobaki hata wewe unaezamalizia[emoji16][emoji16].
wapi pinnacle the tallest in africa[emoji3]
Ugua pole pole[emoji1787][emoji1787]hivyo unatakiwa ulete wewe kama ambavyo sisi tunakuletea vya nairobi.
Mwambie Nairobi is a construction site[emoji23][emoji23][emoji23]Bwahaha[emoji1787][emoji1787]mlisahau wakati mlikua mnaturingishia na ushubwada wenu wa zile towers tatu..
Hku kuna jengwa kila siku
Ushawahi kuona wapi city isiyokuwa na vichochoro!??Mbna mnakwepa kuleta vile vichochoro vya dar[emoji1787][emoji1787]
Sidhani hata kama anafahamu maana ya vichochoro [emoji23][emoji23][emoji23]Ushawahi kuona wapi city isiyokuwa na vichochoro!??
Ukiona city haina vichochoro,ujue hiyo bado katika sekta ya majengo,yaani haijajengeka.