Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahaha[emoji1787][emoji1787]
Mbna unaweweseka, umeskia hapo nimetaja covid jamani..
Au wewe ndio unambie km walimpima wakakuta hana corona..

Nyie hampimi corona bana, watu hko hufa kw complications tu, au unakataa[emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, ninyi mlijaribu kufungua shule zenu moto ukawawakia, unadhani kutopima Corona ndio kutasababisha wanafunzi na waalimu kutokufa kwa Corona, au hata maiti za wanafunzi na waalimu pia hatupimi?, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Joto la jiwe naona umeanza kuwehuka sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo ni maghorofa sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo zinakaa hivi kw chini[emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116]View attachment 1640725
Funguka, kuwa wazi, weka picha watu wajionee hali halisi ya mitaa, wacha kufichaficha kwa kuweka vipicha visivyopnyesha mitaa halisi badala yake inatuonyesha "roof tops".

Hizi hapa ni ghorofa by 100%, zile za Magomeni ni ghorofa by 80%, tafuta picha za Magomeni za karibu ulete tuone.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Funguka, kuwa wazi, weka picha watu wajionee hali halisi ya mitaa, wacha kufichaficha kwa kuweka vipicha visivyopnyesha mitaa halisi badala yake inatuonyesha "roof tops".

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Picha ya nyumba za chini pamona na maghorofa huaga zinakaa hivi hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maeneo ya kawaida hayo tu, si we mwnywe unajionea maghorofa na nyumba za chini zilivyokaa
EamhnCZX0AELeZM.jpg
 
Bwahaha[emoji1787][emoji1787]
Mbna unaweweseka, umeskia hapo nimetaja covid jamani..
Au wewe ndio unambie km walimpima wakakuta hana corona..

Nyie hampimi corona bana, watu hko hufa kw complications tu, au unakataa[emoji1787][emoji1787]
sikatai daktari wanjigu upo sawa kabisa[emoji2]
 
Back
Top Bottom