Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We ndio unataka kupindisha vitu wakati tayari unajua kilichomuua mzee ni complications..
Masuala ya kupimana muachie jiwe ye ndio anajua atayapelekaje
unanilazimisha wakati sijui,,,,

wewe ndiye uliyeleta hizo habari,,,,sasa inabidi ueleweshe jamii
 
Sisi tutakopa mpaka 150% sijui yuko wapi yule jamaa😅😅😅👇👇👇👇
E5191FD7-9AB6-41AE-8BBE-CD950411292B.jpeg
 
yaani hawajui tu ,kama kwa upande wa majengo tulisha wabadilishia gear sasa ivi tupp kwenye mambo mengine kabisa yakimkakati....

huko tutarudi next time
Mtajua hamjui,😅 si tuko kila corner,si expressway, Overpass, Railway, Towers BRT
Meanwhile PTA tower 20flr kilimani progressing well,, kilimani is lit 🔥🔥 tower after tower,,by 2025 itachapa upper hill I bet
3c29k6qknws11.png
B93F4DBB-06BC-43CA-ACCF-2BBC99A9A698.jpeg

3256FA3F-3EA3-4336-84A0-9386E834C9EF.jpeg
 
Lete view km hyo mjini kati..
We unaniletea vipicha vilivyochukuliwa nje njeView attachment 1640745
Nairobi is full of ugly buildings..there is nothing that nairobi can challenge dar-es-salaam,but i can list the lot of things in dar to challenge nairobi,such as beautiful buildings,public transport,social services like clean water,proper housing and land,number of millionaires,billionaires,stadium,football clubs,beaches and hotels etc
 
Back
Top Bottom