Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
Utakuwa na chuki kiasi gani dhidi ya Kenya uilinganishe Mombasa na jinja? Jinja hata Thika haifikii.We jamaa sometimes huwa hujielewi, yaani Mombasa ipambane na Kampala? Ulishafika Kampala? Mombasa haifikii hata Jinja unless hujawahi fika Mombasa
Sehemu kubwa bado ziko wazi 😂 😂 😂
Do you know something about planning and proper land use? Ama unataka Nairobi nyumba zirundikane kila sehemu bila mpangilio kama Dar?
90% of houses in these images below are apartment buildings
Amini usiamini sikuwaza kabisa, sijui niliazima wapi fikra.Hata wewe hujashtuka hiyo ni photoshop?
Hii Mwanza I doubt kama inaezakaribia Kisii.Uongee kwa adabu pia unapotaja taja Mwanza View attachment 1640246View attachment 1640247


Ka-nairobi kenyewe hata km² 680 hakafiki,ni kadogo mno

. Streets za Mombasa are better than za Dar, Mombasa has better housing compared to Dar. Mombasa has much better port than Dar, Moi International airport and JNIA had almost the same number of PAX in 2019. Mombasa is well planned compared to Dar. The only thing Dar inalemea Mombasa ni tall buildings but outside that, Mombasa can go toe to toe with Dar.
Hahaha mombasa haina mishemishe?hamna majumba marefu?sioni magari barabarani,sioni kitu cha mombasa kinachoendana na Dar sijakiona
wale waliokuwa wanakejeri hizo mini station wapo wapi....






poa mkuu tuione hiyo taratibu....Taratibu kiongozi wacha pupa



we ni kichaa shida ya maji ya cape unacompare na nairobi......So kwako kujenga barabara is a misplaced priority?! Mbona nyinyi mkajenga sgr wakati Dar haina a reliable sewer system hadi cbd? Is that also misplaced priority? Tatizo la maji lipo hata Cape Town. And then it's not like maji haiko Nairobi, huwa ni shida haswa wakati wa kiangazi coz maji yanayotumika Nairobi come from outside Nairobi.



pole sana kwa ukichaa. ulionao...wakenya bhana huwa mnajilinganisha hadi na japan hata kimadenj........wewe ni fala sana
naunga mkono hojaTafiti zinaonyesha kwamba slum(yaani makazi holela na duni) yamechukua eneo lenye ukubwa wa 453 km² za jiji la nairobi ambayo ni sawa na 62.34 % ya eneo lote,kwa mujibu wa tafiti hizo nairobi ndo jiji la kwanza afrika lenye eneo kubwa zaidi kwa slum.
ipo mzee ojwani tena tumeumwa na kufa watanzania wote nikiwemo mimi,,,,,,ila tukafufuka ghaflaTanzania hakuna corona






Haiwezi Dar hata ungeandika kwa kifaransa,ati unasema barabara?izo ni Barabara za kawaida sana bro kwa jiji hakuna maajabu...Njoo dar hapa hata jpl gari bado zipo nyingi huku ni mjini mzae wacha kusema habar za kusadikika hapa...ukitoka Bunju hadi posta mombasa imeisha na hyo ni side moja tu ya DarMbona hujataja barabara? The video was taken on a Sunday so kama unaexpect kuona magari on Sunday basi unataka maombi. Streets za Mombasa are better than za Dar, Mombasa has better housing compared to Dar. Mombasa has much better port than Dar, Moi International airport and JNIA had almost the same number of PAX in 2019. Mombasa is well planned compared to Dar. The only thing Dar inalemea Mombasa ni tall buildings but outside that, Mombasa can go toe to toe with Dar.
kabisa......Haiwezi Dar hata ungeandika kwa kifaransa,ati unasema barabara?izo ni Barabara za kawaida sana bro kwa jiji hakuna maajabu...Njoo dar hapa hata jpl gari bado zipo nyingi huku ni mjini mzae wacha kusema habar za kusadikika hapa...ukitoka Bunju hadi posta mombasa imeisha na hyo ni side moja tu ya Dar
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Haiwezi Dar hata ungeandika kwa kifaransa,ati unasema barabara?izo ni Barabara za kawaida sana bro kwa jiji hakuna maajabu...Njoo dar hapa hata jpl gari bado zipo nyingi huku ni mjini mzae wacha kusema habar za kusadikika hapa...ukitoka Bunju hadi posta mombasa imeisha na hyo ni side moja tu ya Dar
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app