Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sioni chaajabu ,,,,,kwanza bado haijakamilika,,,huwa unapendwa kujifurahisha for nothing....[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

utakuwa jobless si bure
Hiyo ni edited, haiwezekani mataruma na reli vikawa hivyo hata kama vimetumika miaka 20000

Labda kama hizo sio rails ni spaghetti
 
Hiyo ni edited, haiwezekani mataruma na reli vikawa hivyo hata kama vimetumika miaka 20000

Labda kama hizo sio rails ni spaghetti
we muenjoy tu......[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndiyo maana nacheza naye tu,,,maana utoto umemjaa
 
we muenjoy tu......[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndiyo maana nacheza naye tu,,,maana utoto umemjaa
😅😅😅😅

Polish_20201202_160430225.jpg
 
Hahhaha..wabongo bhana mtu anaweka editings za mataruma alafu mtu anaamini...[emoji23][emoji23][emoji23]...kwanza sifa ya chuma cha reli akiwezi kuwa na meanders yaan mikunjo mikunjo kama ugali wa muhogo[emoji23]
 
mnawezaje kutuma video humu.. kuna video fupi ya sgr nataka nitume
 
Na hiyo udogo wake inashinda Dar kwa kila kitu. Kiuchumi, kimaendeleo, kistawi, kiushawishi nk. Huoni kwamba mmelemaa mahali? [emoji23]
Kuna muda hua unaongea facts sema unamizaha sana
 
Hahaha mombasa haina mishemishe?hamna majumba marefu?sioni magari barabarani,sioni kitu cha mombasa kinachoendana na Dar sijakiona
Talking of majumba marefu, what does Dar have save for those three blue towers. Secondly, majumba za 20 floors ziko nyingi sana Mombasa and many more are still in the pipeline. Niambie ni wapi bongo kuna jumba la 20 floors kando na Dar
 
Back
Top Bottom