Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha mombasa haina mishemishe?hamna majumba marefu?sioni magari barabarani,sioni kitu cha mombasa kinachoendana na Dar sijakiona
Talking of majumba marefu, what does Dar have save for those three blue towers. Secondly, majumba za 20 floors ziko nyingi sana Mombasa and many more are still in the pipeline. Niambie ni wapi bongo kuna jumba la 20 floors kando na Dar
 
Mombasa haiwezan na Dar kwa nyumba wacha ubishi,Nje ya Dar hakuna
 
Mzaha gani? Kwani ni uwongo Nairobi inazidi Dar kiuchumi na kimaendeleo?
Inategemea maana nimeona apo Nairobi bado kuna maeneo hata maji ni shida na slum za nguvu kwelikweli Au wewe unazungumzia Karen vs Oysterbay n the likes? Zungumzia kwa ujumla wake
 
Talking of majumba marefu, what does Dar have save for those three blue towers. Secondly, majumba za 20 floors ziko nyingi sana Mombasa and many more are still in the pipeline. Niambie ni wapi bongo kuna jumba la 20 floors kando na Dar
Dar es Salaam-TZ.png
 
Inategemea maana nimeona apo Nairobi bado kuna maeneo hata maji ni shida na slum za nguvu kwelikweli Au wewe unazungumzia Karen vs Oysterbay n the likes? Zungumzia kwa ujumla wake
Tofauti yetu na nyinyi ni kwamba sisi tunakubali mapungufu yetu ila nyinyi hamkubali. Slums ziko Nairobi na hakuna anayekataa pia maji huwa ni tatizo hasa wakati wa kiangazi. But these can't downplay the fact that Nairobi is far ahead of Dar when it comes to urban planning and housing. Najua ushabiki haitakurusu kukubali hili but that's the fact
 
Unamzidi mtu kwa planning tu?Dar kulikua na shida sana ya maji ila since Jpm era iyo shida inapungua kwa kasi ya kasi ya mwanga...mnaopt vp kujenga express way wakat maji ndio basic need ya watu na hamna? So nyie mna misplaced priorities

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
So kwako kujenga barabara is a misplaced priority?! Mbona nyinyi mkajenga sgr wakati Dar haina a reliable sewer system hadi cbd? Is that also misplaced priority? Tatizo la maji lipo hata Cape Town. And then it's not like maji haiko Nairobi, huwa ni shida haswa wakati wa kiangazi coz maji yanayotumika Nairobi come from outside Nairobi.
 
Back
Top Bottom