spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
Geza unazozijua pamoja na hiyo ya Vingunguti, Shinyanga,Mwanza nk ongezea na Machinjio Mpya ya Geita. Ni kubwa Fence ni Mita 200 kwa Mita 200.wacha kuwa politician sema hamna state of the art slaughter house kama hiyo!
FYI there r around 6 of these in Tanzania currently U/C!
Nitaitupia siku moja nina mpango wa kwenda Geita

