Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kwako kujenga barabara is a misplaced priority?! Mbona nyinyi mkajenga sgr wakati Dar haina a reliable sewer system hadi cbd? Is that also misplaced priority? Tatizo la maji lipo hata Cape Town. And then it's not like maji haiko Nairobi, huwa ni shida haswa wakati wa kiangazi coz maji yanayotumika Nairobi come from outside Nairobi.
Kua misplaced priorities haibadili hata kama cape town wanazingua fact inabaki palepale...mngesolve tatizo la maji kwanza Nairobi ni jiji kuu haitakiwi maji yawe ya msimu
 
Tafiti zinaonyesha kwamba slum(yaani makazi holela na duni) yamechukua eneo lenye ukubwa wa 453 km² za jiji la nairobi ambayo ni sawa na 62.34 % ya eneo lote,kwa mujibu wa tafiti hizo nairobi ndo jiji la kwanza afrika lenye eneo kubwa zaidi kwa slum.
 
De city
Screenshot_2020-12-02-18-51-24-1.jpg
 
Kua misplaced priorities haibadili hata kama cape town wanazingua fact inabaki palepale...mngesolve tatizo la maji kwanza Nairobi ni jiji kuu haitakiwi maji yawe ya msimu
Na umesahau Dar halina a reliable sewer system? Hadi kinyesi huelekezwa baharini!? Why are you so blind to your own problems while poking holes at ours? 😂
 
Tafiti zinaonyesha kwamba slum(yaani makazi holela na duni) yamechukua eneo lenye ukubwa wa 453 km² za jiji la nairobi ambayo ni sawa na 62.34 % ya eneo lote,kwa mujibu wa tafiti hizo nairobi ndo jiji la kwanza afrika lenye eneo kubwa zaidi kwa slum.
😂 😂 😂 umeumia kweli kijana. Nafurahia hii uchungu yako. Tupatie link ya hiyo tafiti hata sisi pia tusome. Ama ni zile links za kutoa utosini??
 
Unamzidi mtu kwa planning tu?Dar kulikua na shida sana ya maji ila since Jpm era iyo shida inapungua kwa kasi ya kasi ya mwanga...mnaopt vp kujenga express way wakat maji ndio basic need ya watu na hamna? So nyie mna misplaced priorities

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kwhyo tukifuata huo mfano wako nyie hata ndege pia hamfai kununua
 
Back
Top Bottom