Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeshindwa kujenga hoja umeamua kuleta ushabiki, Kenya reli yenu is far inferior in almost every aspect except small stations only.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Is this thing superior according to you? This is poor workmanship my friend.
tapatalk_1606647829453.jpeg
 
Dream houses ni bora mara mia kuliko hayo mabanda ya "bati after bati"
Maana dream houses kuna vyoo bora, maji pamoja na huduma zingine muhimu.
Vyoo gani hizo nyumba ziko nazo wakati Dar asilimia kubwa ya watu wanatumia pit latrine?! Hata sewerage system huko ni sehemu ndogo tu ya Dar ndiyo iko covered! Actually, sewerage system serves only less than 13% of Dar residents according to reports. Waste water inaelekezwa baharini! Danganya wengine
 
Haya maeneo yalishajengeka toka 1940's, kipindi kile population ilikuwa 50,000... sasa hivi ni six million. Ndiyo sababu ya kujenga haya maghorofa.
Na mbona mkiona magorofa ya makaazi kama hayo Nairobi mnazikejeli na kusema hakuna mtanzania anaweza kuishi kwenye box au dormitory, as you also call them?! Saa zingine pia mnabadilisha lugha na kusema hizo nyumba zinamilikiwa na wazungu. Nashangaa leo mnazishabikia!!
 
Tunashangaa nyinyi kujenga flat nyingi wakati kuna sehemu kubwa bado ziko wazi (private land?), huku mkirundika watu wengi kwenye slums.
 
Vyoo gani hizo nyumba ziko nazo wakati Dar asilimia kubwa ya watu wanatumia pit latrine?! Hata sewerage system huko ni sehemu ndogo tu ya Dar ndiyo iko covered! Actually, sewerage system serves only less than 13% of Dar residents according to reports. Waste water inaelekezwa baharini! Danganya wengine
Wewe certified nincompoop endelea kuota hiyo ndoto kisha ukimaliza nenda kanye kwenye flying toilet.
 
Hii hapa wakulungwa wa kaskazini wangesema Slum upgrading program

Magomeni hiyo.

View attachment 1639189
View attachment 1639190
View attachment 1639191
You people are a very funny lot. Hamtaki kukubali kwamba mko na mapungufu hata kidogo. Nyumba Kama hizo ziko kila corner Nairobi ila zikionyeshwa hapa chuki zinawapanda na mnaanza kutuambia vile hakuna mtanzania anaweza kuishi kwenye dormitory. Mara sijui eti hizo ni boxes. Mara eti wamiliki Ni wazungu. There's just too much excuse and drama

Iweje leo mnafurahi kuona boxes na dormitories zikijengwa Dar? Na Ni akina nani wataishi kwenye hizo boxes? Wakenya?

Anyway, congratulations for taking a step in the right direction in matters housing and planning. We've been treated to drama for far too long!
 
Back
Top Bottom