Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Wacha bwanaaa!!!!!!!!🤭🤭🤭🤭🤭🤭![]()
eti kwao ndo the best.. huku bongo hii inazidiwa hata na ile Rabinsia Hospital ya kule tegeta
Dream houses ni bora mara mia kuliko hayo mabanda ya "bati after bati"Hapana, ni ukuaji wa dream houses

Mna slaughter house kama hii Kenya?
Kuwa mkweli!
wacha kuwa politician sema hamna state of the art slaughter house kama hiyo!Sina uhakika. Kenya meat commission pia walikuwa na mpango wa kuautomate process zao ila sijui kama wamefanya hivyo au la.