Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Nivigum kuelewa uyooo, sabab waliambiwa BRT ni kupak lipstic kwa roadSo ww akili yako ni kupost picha za ajali ajali ni jambo la kawaida ulimwenguni koteView attachment 1638345




Nivigum kuelewa uyooo, sabab waliambiwa BRT ni kupak lipstic kwa roadSo ww akili yako ni kupost picha za ajali ajali ni jambo la kawaida ulimwenguni koteView attachment 1638345




Kwa hivyo tatizo kwako ni kwamba zinatumika kwa public transport? Lakini zikitumika kama private means hamna tatizoKuwepo si hoja,hiace zipo hadi america..huku hiace haitumiki kwa public transport,only for private use,huku passengers wanapanda coaster,hiace a.k.a vipanya tumewaachia nyie
Kwa hivyo 1989 watanzania walikuwa wakitumia simu za rununu? Na pia service provider ilikuwa ni vodacom? 😂 😂Duh vodacom wanatumia logo ya blue!!??..hiyo ni mwaka 1989 mara ya mwisho kutumia hiyo logo ni mwaka 1994..picha za zamani sana,hizo hiace hadi leo kenya zatumika,huku bongo hazitumiki kwa passenger ni kosa kubwa kisheria,kubalini mko nyuma yetu sana😂👆
Yeah,that's what we're talkin' 'bout!!Kwa hivyo tatizo kwako ni kwamba zinatumika kwa public transport? Lakini zikitumika kama private means hamna tatizo
Okay I get you now. That's how you all reason. Hauna tofauti na wenzakoYeah,that's what we're talkin' 'bout!!
Sasa hapo si nimeshakwambia 1994 ,hiyo 89 hiyo hiace ya stesheni,kwani we umepost picha ngapi?!,hapo umechanganya ma-file umepost picha za 1989,1994(vodacom),2007,2018...hakuna ya 2020Kwa hivyo 1989 watanzania walikuwa wakitumia simu za rununu? Na pia service provider ilikuwa ni vodacom? 😂 😂
Wewe unajua vodacom ilianzishwa mwaka gani?
Tuonyeshe hizo dream houses tuzione kwa karibu, hapo hizo picha tunaona bati kwa juu, haionyeshi kwamba ni mabanda au ni nyumba za tofali, tunataka kuona kama hiziNishakuambia Kibera is only 2.5 square kilometers big. You can't compare with the infamous dream houses of Dar that cover almost the entire city.
Compare and contrast kisha ujijibu View attachment 1638335View attachment 1638340





Hawezi wala haitotokea akapnyesha nyumba zenyewe, kwasababu anajua atadhalilika, hizo picha nyingi sio Tanzania, ambazo ni Tanzania nyumba ni nzuri sio mabanda ndio sababu anaonyesha picha kwa mbali.Zoom tuone sasa hio slum ambayo mpaka leo mzungu hajagundua![]()


Hizo hiace kwa mega city hasa jiji kuu lenye watu zaidi ya 7 mill tutatoshana kweli kwa vipanya(hiace)..that's why,serikali ikapiga marufuku na kuweka sheria kali juu ya public transport,huku bongo huwezi kubadilisha canter for luggage iwe inabeba passengers kama mnavyofanya nairobi,do you understand!??Okay I get you now. That's how you all reason. Hauna tofauti na wenzako
Weka tuone hadi ukuta na milango ya nyumba ili kujua aina ya nyumba.Kwa hivyo mzungu ndio aliandika hizo maandishi? Kweli wewe ni pumba
Kama ajali ni kitu ya kawaida ni mara ngapi wewe unapost picha za ajali kutoka Kenya? Si unions jinsi ulivyo mwehu?So ww akili yako ni kupost picha za ajali ajali ni jambo la kawaida ulimwenguni kote 😅😅😅😅😅View attachment 1638345
Hawezi wala haitotokea akapnyesha nyumba zenyewe, kwasababu anajua atadhalilika, hizo picha nyingi sio Tanzania, ambazo ni Tanzania nyumba ni nzuri sio mabanda ndio sababu anaonyesha picha kwa mbali.
Weka tuone hadi ukuta na milango ya nyumba ili kujua aina ya nyumba.
Tuonyeshe hizo dream houses tuzione kwa karibu, hapo hizo picha tunaona bati kwa juu, haionyeshi kwamba ni mabanda au ni nyumba za tofali, tunataka kuona kama hizi
![]()
Na hatupigi hata kelele! 😂 😂The newest Overpass in Nairobi,,more are coming, actually we launch like two per year,#construction back to back😍😋View attachment 1638477View attachment 1638478
Kwa hivyo leo kuna slums Tanzania? 😂 😂 Tuamini nani kati yako na vilaza wenzako wanaosema hamna?Unapambana sana na huku data zako zinapingana, hiyo ramani inaonesha tz kuna slums nyingi kuliko ke ilhali hapo world bank inaonesha tangu 2015 tz haijawahi kuipita ke kwa slums. Population living in slums (% of urban population) - Tanzania | Data vs Population living in slums (% of urban population) - Kenya | Data
na wakienda kwa ground hawatakuta slum tz ng'o
Picha ya pili ndio picha halisi ya makazi, unaweza kuona hizo ni nyumba za blocks, zikiwa na madirisha na milango, ndani zote zina vyoo, na "sanitations" ni nzuri.Sisi hatuna slums. Tuko na dream houses. Walisikika watanzania wakisema![]()
View attachment 1638485View attachment 1638486View attachment 1638487View attachment 1638488View attachment 1638489
Kama mwendo ni huo basi hakuna cha kujivunia hapa. Mbona niingie kwenye basi kisha nibanwe na watu mithili ya gunia za mahindi kwenye kona? Alafu nijione eti natumia huduma bora ya usafiri!! Eti nivumilie kusimama kando ya mtu ananuka makwapa na mdomo! No nimelipa nauli!!!!Ndio kazi ya BRT na BRT zote duniani ndio kazi yake😃😃👇👇👇 akili za mkenya ni za kimskini sana
View attachment 1638314View attachment 1638315View attachment 1638316View attachment 1638317
Picha ya pili ndio picha halisi ya makazi, unaweza kuona hizo ni nyumba za blocks, zikiwa na madirisha na milango, ndani zote zina vyoo, na "sanitations" ni nzuri.
Picha ya kwanza ni sehemu ya biashara, hakuna makazi ya watu hapo, picha ya nne ni karakana hakuna watu wala makazi ya watu.
Weka video kama hizi
Which denial?, hizo nyumba zote zina madirisha na ni nyumba za blocks na vyoo ndani, mabanda ni haya hapaDenial as usual. You will even deny your own existence soon


Why do you have short memory??? 😂 😂 😂