Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Serikali yenu haiezithubutu kumfukuza Tanzania juu ya taxes wanapata kutoka kwake. Are you aware that akitoka atatoka na company yake and that will be a big loss to your government as far as taxes are concerned? He is the owner of Ivory Tower real estate services.
Wakenya wanaoishi Tanzania tunawanyanyasa na kuwafukuza vile tupendavyo
 


Grogon as we speak.
Enzo27xWEAA2M9e.png
EmsBfndWMAYeCKk.jpg
 
Dongo kundu bypass is the best,looks like Europe,cant wait for it's full completion+the tree super Bridges, including the great Mombasa gate bridge

Weh mombasa is on another level...dongo kundu itakua game changer kwa kweli itakapokamilika
 
Maendeleo ya kenya,vya zamani vilijengwa na wakoloni wazungu.
Vya sasa hivi vinafadhiliwa na wageni wa asia na ulaya.
kwa kifupi tu maendeleo yenu si ya kujivunia.
tafuteni mchawi wenu ninani na muache kutafuta visababu.mlianza kusema twajenga nairobi peke yake hamkujua tunapiga miradi chini ya maji mombasani.sasa mumelewa kila mahali kenya ni mwendo waktufua vumbi mnaanza sababu zingine
 
Back
Top Bottom