Unadhani kujenga barabara maalum kwa ajili ya BRT ni kama ukuaji wa slums Nairobi eeh!It's part of the building process



Hii ngoma wanaichelewesha bure Chief, ilitakiwa watu wawe washaanza kupiga pesa haponaona ngoma imewakaa
Hapana, ni ukuaji wa dream housesUnadhani kujenga barabara maalum kwa ajili ya BRT ni kama ukuaji wa slums Nairobi eeh!![]()
Unafikiri ni kwa nini wanachelewesha?Hii ngoma wanaichelewesha bure Chief, ilitakiwa watu wawe washaanza kupiga pesa hapo
Haya maeneo yalishajengeka toka 1940's, kipindi kile population ilikuwa 50,000... sasa hivi ni six million. Ndiyo sababu ya kujenga haya maghorofa.Kumbe hizi dormitories mnazipenda tu shida ni ushabiki 😂 😂 😂
I thought domirtories are only found in Nairobi!!
Mbona mnajenga Dar sana na itamezwa na maji? Si mngejenga Dodoma?Hii hapa wakulungwa wa kaskazini wangesema Slum upgrading program
Magomeni hiyo.
View attachment 1639189
View attachment 1639190
View attachment 1639191
Mngekuwa mna plan nzuri hapo kati mngeweka space kubwa kwa ajili ya BRT ila kila siku huwa nasema nyie ni watu wa kukurupuka!
Suggestion nzuri lakini hii sio government project. Hii ni private project. Investor ndiye anaamua mambo hayo.Mngekuwa mna plan nzuri hapo kati mngeweka space kubwa kwa ajili ya BRT ila kila siku huwa nasema nyie ni watu wa kukurupuka!
ndo mnapokosea kwa hiyo kama anaamua hamuwezi kum-convince aaache enough corridor hamuwezi kuweka some city planning laws kama hizo! ndo maana nimekuambia hii project will not renders intended results kwanza ilipaswa kuwa metroline on top n then BRT bus line below!Suggestion nzuri lakini hii sio government project. Hii ni private project. Investor ndiye anaamua mambo hayo.
Suggestion nzuri lakini hii sio government project. Hii ni private project. Investor ndiye anaamua mambo hayo.
Anataka magari yaongezeke barabarani ndio arudishe pesa yake haraka. Metro na Brt zitareduce traffic maana Wakenya watawacha kununua magari na kupanda metro. Au watawacha magari nyumbani na kupanda metro. Hivi unadhani huyu investor ni mjinga?do mnapokosea kwa hiyo kama anaamua hamuwezi kum-convince aaache enough corridor hamuwezi kuweka some city planning laws kama hizo! ndo maana nimekuambia hii project will not renders intended results kwanza ilipaswa kuwa metroline on top n then BRT bus line below!