babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Kwa hiyo mmeshajenga ndio mkapaka hizo lipstick?So brt siku hizi inashuka kutoka mbinguni, haijengwi?
Kwa hiyo mmeshajenga ndio mkapaka hizo lipstick?So brt siku hizi inashuka kutoka mbinguni, haijengwi?
wamepigwa chini...
aisee hizi nyumba zimechukua muda mrefu kuisha nadhani mwaka wa nne sasa!Hii hapa wakulungwa wa kaskazini wangesema Slum upgrading program
Magomeni hiyo.
View attachment 1639189
View attachment 1639190
View attachment 1639191
It's part of the building processKwa hiyo mmeshajenga ndio mkapaka hizo lipstick?
Hii Dodoma has nothing special in it. Kimuonekano inafanana na Garissa.Dodoma demands it's throne slowly
The Capitalof the region taking shape like that
naona ngoma imewakaaWalikuwa wapi kutengeneza barabara, mpaka wanasubiri deadline ya stendi kufika, hapa Kuna uzembeView attachment 1639266View attachment 1639267