Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,975
- 27,977
World bank kukokotoa revenue over population inamake sense ingawa wakiamua kukushusha kwa maslah ya wazungu watafanya wanavyotaka thats why tunasema humu mara kwa mara world bank wakiwa waungwana TZ ni tajiri kuliko wanaturank now.
Pia hata swala la poverty, waoneshe jamii hata moja ya watu wanaoishi kwa povrty kama ilivyo kwenu turkana na nairobi wanakopikia watoto mawe







