Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

With 1.5m visitors against 2.5m visitors za Kenya?[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Kwa sababu mwanaokuja kwenu ni masikini
Screenshot_20201128-171610.jpg
 
Utasubiri sana venye bado unasubiri construction board ya Expressway[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitasubiri kunifahamisha kua 35% ya safaricom munayomiliki ni sawa na 3/4 ya GDP ya tanzania hahahahhaha ama kweli safari bado ipo😅😅😅😅
 
Kwa ppp kwamba mchina anajenga kwa pesa zake alaf anakuja kuwakamua miaka 30[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1636494

Hivi wakenya wanafeli wapi[emoji23][emoji23][emoji23]...embu wamfuate Halima Mdee awape mbinu za kumzunguka Uhuru akiamka anakuta Raisi mwengine anaapishwa[emoji1787][emoji1787].

Ila hawa jamaa wanaenda kushika mkia kwnye economic development in few years to come..Mark my words
 
Back
Top Bottom