Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi wakenya wanafeli wapi[emoji23][emoji23][emoji23]...embu wamfuate Halima Mdee awape mbinu za kumzunguka Uhuru akiamka anakuta Raisi mwengine anaapishwa[emoji1787][emoji1787].

Ila hawa jamaa wanaenda kushika mkia kwnye economic development in few years to come..Mark my words
Wamekwisha mchina tayar kashafanya ile kazi sasa anaikamilisha tu 😅😅😅😅😅
 
Kwa ground[emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 1636828
Hzi hupendi kuziona 😅😅😅😅👇👇👇
7D70CEA8-AADF-4D5D-BBB1-6745B44F0D58.jpeg
0360960B-AA49-4EEA-8BDC-C8C6BFA81248.jpeg
3DC229AC-52DE-43C5-ABCA-31736A0DFB9F.jpeg
D29ADAF4-8EB9-403D-9BE8-440205C03DCD.jpeg
0613D419-7E5C-4169-8200-5021FB65F4E6.jpeg
BF7ADE77-915B-4CD8-AA8C-27208D4FDE76.jpeg
 
Tuko nyuma wakat 2019 tanzania imeingiza 2.6b usd nyinyi mumeingiza 1.6b nani yuko nyuma ya mwenzie [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nani ametajwa hapa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
IMG_20201128_130432_949.JPG
12744537_img20201126105708248_jpeg594ec911db3139819dae0ae8de7f8523.jpeg
 
Sasa unataka kulinganisha 1.5m tourists with 2.5m tourists?[emoji1787][emoji1787]
What about revenue 😅😅😅😅 leo unajitoa kidole mwenyewe unaangalia number au unaangalia revenue

2.6b usd vs 1.6b 😅😅😅😅😅😅
 
Mapovu yameanza kukutoka hyo ni world travel awards na bado mtazidi kusoma label Kenya c rika yenu mushindane na drc, Malawi usumbuji, Nigeria hzo ndio rika yenu
Huwezi fananisha tuzo zinazopogiwa kura na critics VS tuzo zinazopogiwa kura na raia zile tuzo za ku.share link mnipigie kura.
 
Back
Top Bottom