Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi watu wa Serengeti na Kenya ilikuwa imefunga mipaka juu ya coronavirus na tz walikuwa busy as usual sasa hatungefunga c tungekuwa top 10 dunia nzima 😂😂😂😂😂
Mpo mentioned na kijarida cha kipumbavu tu mnapata ukichaa, je mngekuwa featured Forbes as 2nd world's leading destination 2021 ingekuwaje?
 
Hayo makonokono yenu hayana tofauti na mikokoteni sababu inaenda taratibu kama inasukumwa na punda
12585938_brtpic_jpege4165b1577a261f6e62b20ff04f5d701.jpeg
View attachment 1636803
FB_IMG_16064909456497061.jpeg
 
Mpo mentioned na kijarida cha kipumbavu tu mnapata ukichaa, je mngekuwa featured Forbes as 2nd world's leading destination 2021 ingekuwaje
Mapovu yameanza kukutoka hyo ni world travel awards na bado mtazidi kusoma label Kenya c rika yenu mushindane na drc, Malawi usumbuji, Nigeria hzo ndio rika yenu
 
Mapovu yameanza kukutoka hyo ni world travel awards na bado mtazidi kusoma label Kenya c rika yenu mushindane na drc, Malawi usumbuji, Nigeria hzo ndio rika yenu
Hahahaha ingekua mpo level hizi ingekuwaje? 😅😅😅

A must visit 2021, worldwide ranking sio suala la Africa au 2020 mzee 😅😅😅

 
Back
Top Bottom