ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kwani unafkiri ni moja nimekwambia pitia hapa kuna kampuni inaitwa songoro marine mzeee ๐ ๐ ๐๐๐๐Hii meli nimeifuatilia kwa ukaribu kwenye youtube sasa huwezi kunidanganya. Tangu makontena ziwasili TZ na vyuma vilivyokatwa kuanza kuunganishwa. Nimekuwa nikitazama.
Aliekwambia wachina wanajenga nani ndivo munavojidanganya nyinyi๐๐๐


