Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi huku Magari tunamiliki mpaka masikini. Inaelekea kuwa basic need. Ndio maana tunawajali Parking mjini tu jero.. kariakoo mia tatu tu.. kwenu huko ingekuwa KSh. 25Mjini na KSh. 15 kwa Kariakoo ili Masikini Sisi twende tukauze na kununua pia.

Na Toll fee kubwa huku kwetu ni sawa na KSh.90 kwa Kigamboni.. for SUV Family Cars na KSh 70 kwa Vipaso na Vigari vidogo vidogo hata Hiyo Yenye mnapenda sana proboo inakuwa tu hiyo hiyo tu 70.

Ferry like wise haizidi 120 KSh. Most of places.
Acha uongo kijana
Kenyans have more vehicles per capita than Tanzanians
Nani amekuambia toll fee ya Nairobi expressway itakuwa 600ksh ichoboy ama 😂😂😂
 
Hizi kesi zinajulikana. Official source gani unataka?
Kesi gani mzee zinajulikana na nani???😅😅 tatizo lenu nyinyi mumebakia kuipmbea tanzania mabaya kwasababu inafanya mambo makubwa ambayo nyinyi hamujayafanya na hayatafanyika
 
Acha uongo kijana
Kenyans have more vehicles per capita than Tanzanians
Nani amekuambia toll fee ya Nairobi expressway itakuwa 600ksh ichoboy ama 😂😂😂
Kwani hujui kama ni 600ksh au uletewe ushahidi hapa 😀😀😀😀

 
Back
Top Bottom