Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo corona siku hizi ni Kama donda linaonekana kwa macho? Do I need to come all the way to know there's corona in Tanzania?
Umeona ss huyu mlevi arguments zake? Yn kwa macho huwezi juwa kwmb nchi fulani haina corona kweli jmn?
 
Duh,hiyo the rest of the world unayosema walifuata 100% miongozo ya WHO ,na sisi pia tulijaribu kufuata lakini ile ambayo case zilipanda kwa kasi ya ajabu(kama unakumbuka lakini) serikali kupitia raisi mwenyewe akaitisha kikao na viongozi wa vyombo vya ulinzi na wataalamu wake,unajua ni kwa nini vyombo vya ulinzi?,kwanza serikali ya tz ilichukulia covid kama threat ya ki-usalama wa taifa,na si public health kama mlivyochukulia ninyi na WHO walivyotaka tuchukulie,na 90% ya mataifa ndivyo yalivyochukulia corona,na kwa kuwa ni threat ya usalama wa taifa tunawajua jirani zetu wanaotumika kama vibaraka,tukaamua kuwakwepa hasa kagame na huyo mlevi kunyatta,na ndo maana kipindi kile ulikuwa unaona kabisa migongano..
Kile kikao wakubwa walikuna sana vichwa,wakipiga hesabu ni namna gani hizi case zimeongezeka toka 123 hadi 500 ndani ya siku 2,wakaja na majibu either vile vifaa vya test huenda vikawa faulty,kwa hiyo wakakubaliana wapeleke sampuli ya vitu visiyo binadamu,vitu ambavyo si rahisi kuathirika na covid bila ya watu wa maabara kujua,zile sampuli zikapewa majina ya watu..baada ya kupima zile sampuli zikaja na majibu kwamba zina covid..ile kamati ikajiridhisha kuwa vifaa vile ni faulty,kwa sababu kama imewezekana sampuli ya papai kuwa positive,inashindikanaje sampuli ya mtu negative kuja na majibu ya postive!!??unaelewa hapo(kumbuka haya madai si tanzania tu,hata England,india,iran,south korea,germany,USA walilalamikia test tools kuwa zinatoa majibu ya uongo)

Kwa hiyo kuna uwezekano zile case 500+ huenda kuna njemba ni negative,ila kwa kuwa test tools ni faulty zimeleta jibu positive..kitu cha kwanza kabisa yule bibi wa maabara aliyesomea germany akatumbuliwa,pili kamati ikaja na solution kabambe,kwanzi ni kujikita katika kuwaondolea watu fear(hofu) hii kwa wataalam wa psychology wanaelewa,pili kuwapa watu tumaini(mfano kuwaambia watu kuwa corona inatibika kwa malimao,kujifukiza,tangawizi n.k,pia raisi mwenyewe alikuwa akiwaambia watu kuwa corona ni ka-ugonjwa kadogo tu,ni mafua tu. .!si kwamba alikuwa anadharau corona la hasha alikuwa anawapa wananchi wake tumaini)..
Ukifanya utafiti utagundua kuwa kutaja cases hadharani ni kuongeza taharuki kwa jamii,hivyo serikali ikaamua kufungia kabisa data,ukiwa na kichwamaji huwezi kuelewa kilichofanyika hapo..
Hayo yote niliyoyataja hayakutolewa na WHO,bali ni vichwa adhimu kutoka tz,kama kweli ulisoma vizuri elimu yako utaona kabisa utaalamu na weledi wa hali ya juu uliofanywa na serikali ya tz ktk kupambana na covid chini ya amir jesh mkuu mh pombe magufuli
Mkuu mbn unazipa siri hz mbuzi? Yule mlevi wao naye huwa anachungulia humu so waache tu iwachinje Hawa co watu kabisa hawa.
 
Umeandika insha refu sana ila sijapata mahali umesema kinagaubaga ni njia ipi Tanzania ilikabili corona. Kugundua eti test kits zilikuwa mbovu sio mojawapo ya njia ya kupambana na corona. Umetaja mataifa ambayo pia yalilalamika kuhusu hili. Swali ni je: hizo nchi zilitangaza kuwa corona imeisha kwao kisa waligundua kuna test kits gushi?

Kutaja cases hadharani inawezaje kuleta taharuki? Landa ufafanue hapo maana mimi ninavyojua ni kwamba Ni mojawapo ya njia za kueleza wanainchi kinachoendela na kuwakumbusha kuchukua tahadhari zaidi
Kwahyo wananchi huwa wanaelezwa kila kitu kwa uwazi? Mbn kdf wanapochinjwa na Al shabaab huwa mnafichwa why? Mbn mnafichwa matumiz ya pesa za covid mlizoomba, wacha ujinga Papii chulo kaelezea mbinu nzima iliyotumiwa tz bila kuficha kitu na ni akili kubwa mno, ndo mana huwa nasema elimu imetusaidia sn watz.
 
Mimi husema ni mtu binafsi ajitume ajikomboe, la sivyo sioni ukombozi kutoka katika serikali yeyote Africa! Hakuna! Let them just create condusive environment by building infrastracture, wakuchangamka tuchangamke, wakuzubaa shauri yao.
Ndiyo ubinafsi ulipowafikisha hapo, ila ulaya hawakuwahi kuwa na akili mgando km zako walipambana pamoja mpk wakafika ndipo waka introduce capitalism yn mkubwa amtafune mdg.
 
California is the 4th or 5th largest economy in the world
even New York City GDP is bigger than the whole African continent GDP
My dude, you gotta be smarter than the average bear. The continent of Africa has a coastline of about 30,500km of mostly warm waters, throughout the year. The amount of seafood products that can be converted into dollar is more than the entire economy of the state California, many times over. Didn't you know that?
Yeah thats Is true we need true federalism without govt interference true laissez faire capitalism where people are allowed to operate private prisons, private airports etc not stupid govt regulations and bureaucracy not forgetting really low taxes smes shouldn't even pay taxes
Private prison? You understand that the purpose of any business is to make profit, right? And in order to make more profit you'll need more prisoners, so how are you gonna do that, and who is going to pay you to run your business?
 
Back
Top Bottom