Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
nigeria wangewatoa sababu hawatufikii...tu
www.forbes.com
huyo ni kichaa achana nayeWatazoea tu km ile ya millionares, Kuna mmoja eti anasema bila aibu eti Nairobi ina best public transport in EA kisa mtumba![]()



Leo wameumia sn hz habari mbili za best transport na best destination wameumia sn, kesho hutowaona humuhuyo ni kichaa achana naye![]()




wataelewa tuFORBES -> Bucket List Travel: The Top 21 Destinations For 2021
View attachment 1633401
![]()
Bucket List Travel: The Top 21 Destinations For 2021
Looking for a bucket list travel destination next year? The experts have weighed in on the top 21 places to visit in 2021.www.forbes.com
sasa mtu aende kenya kuna nini cha ajabu,,,,,maana hakuna cha maanaLeo wameumia sn hz habari mbili za best transport na best destination wameumia sn, kesho hutowaona humu![]()
Baada ya kushindwa masai mara sasa wameamua kuwapeleka watalii kwenye kivutio chao kipya cha utalii kibera slumsasa mtu aende kenya kuna nini cha ajabu,,,,,maana hakuna cha maana
Nairobi ingelikua juu ya jozi ningelipinga vibaya sana, mbona ukweli mtamu jamani.unahisi kukufa kisa nairobi haipo.
ng'ang'aneni mutoe matatu kwa city,zinakaa kama matoroli.



Nani anayetaka tu zoomJibu basi plz![]()


ngoja leo ,tuchat kidogoNani anayetaka tu zoom
Mbna usiniache nikuletee vitu kw ground kuliko uanze kulialia hapa..
Nairobi ingelikua juu ya jozi ningelipinga vibaya sana, mbona ukweli mtamu jamani.
Blog uchwara hyo, eti facts from africa alafu ma zombie wanasherehekea![]()
Story za kdf zinahusikaje na hii mada? Halafu unasema tunafichwa matumizi ya pesa za covid! Umesahau jinsi waziri wenu Kabudi alivyotoa povu Tanzania ilipoulizwa jinsi walivyotumia pesa za msaada ya covid?Kwahyo wananchi huwa wanaelezwa kila kitu kwa uwazi? Mbn kdf wanapochinjwa na Al shabaab huwa mnafichwa why? Mbn mnafichwa matumiz ya pesa za covid mlizoomba, wacha ujinga Papii chulo kaelezea mbinu nzima iliyotumiwa tz bila kuficha kitu na ni akili kubwa mno, ndo mana huwa nasema elimu imetusaidia sn watz.
Labda mnaweza tu fundisha dunia jinsi ya kubana data. Hakuna lingine mnaweza fundisha duniaWe nae kuwa uwe unaficha ujinga wako japo kdg, kwn USA hawajafanya maombi? Failed state hamjafanya maombi? Na mbn bado inawachinja? Mnatakiwa mkubali tu ukweli kwmb tz imeifundisha dunia kitu ilipaswa ifanyike japo inauma.
You have comprehension problemsMy dude, you gotta be smarter than the average bear. The continent of Africa has a coastline of about 30,500km of mostly warm waters, throughout the year. The amount of seafood products that can be converted into dollar is more than the entire economy of the state California, many times over. Didn't you know that?
Private prison? You understand that the purpose of any business is to make profit, right? And in order to make more profit you'll need more prisoners, so how are you gonna do that, and who is going to pay you to run your business?
Labda mnaweza tu fundisha dunia jinsi ya kubana data. Hakuna lingine mnaweza fundisha dunia