Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

safi sana,izo ndiyo story ongeza na nyingine ziwe nyingi zaidi.....

siyo kutuletea story za corona zilizopendwa tumeshasahau hayo mambo,,,,japokuwa hata hii uliyoleta nayo ishapitwa na wakati ipo outdated
The way you are talking it seems you're among the 28 million extremely poor tanzanians
 
Afrika tunaburuza mkia kwenye kila idara
Screenshot_2020-11-23-14-59-43-1.jpg
Screenshot_2020-11-23-14-58-53-1.jpg
 
Umeandika insha refu sana ila sijapata mahali umesema kinagaubaga ni njia ipi Tanzania ilikabili corona. Kugundua eti test kits zilikuwa mbovu sio mojawapo ya njia ya kupambana na corona. Umetaja mataifa ambayo pia yalilalamika kuhusu hili. Swali ni je: hizo nchi zilitangaza kuwa corona imeisha kwao kisa waligundua kuna test kits gushi?

Kutaja cases hadharani inawezaje kuleta taharuki? Landa ufafanue hapo maana mimi ninavyojua ni kwamba Ni mojawapo ya njia za kueleza wanainchi kinachoendela na kuwakumbusha kuchukua tahadhari zaidi
kila mtu anatecnic zake za kupambana na jambo ama kitu flani,hatuwezi kufanana ndiyo maana wenye corona yenu tumewaacha muendelee kupambana na corona yenu kwa style yenu na hatujawaingilia.....

kikubwa results kwa upande wetu tumefanikiwa kuizima kabisa kwa 100% cha msingi muendelee tu kula githeri na kuvaa barakoa mpaka yesu arudi....wame zenu wamefel kupata dawa hadi leo wanaangaika....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] endeleeni kujikinga
 
Mimi husema ni mtu binafsi ajitume ajikomboe, la sivyo sioni ukombozi kutoka katika serikali yeyote Africa! Hakuna! Let them just create condusive environment by building infrastracture, wakuchangamka tuchangamke, wakuzubaa shauri yao.
Umesha jam...na ndio ilivyo nikupambana tu familia yako iwe na misingi mizuri waendeleze gurudumu
 
Umesha jam...na ndio ilivyo nikupambana tu familia yako iwe na misingi mizuri waendeleze gurudumu
Kumbe unaelewa mambo ya generational wealth and tranfer, good. kama ume implement you are in the right track, giving your future generation a head start, what most Africans lack. 👌👌👍👍👍
 
Umeandika insha refu sana ila sijapata mahali umesema kinagaubaga ni njia ipi Tanzania ilikabili corona. Kugundua eti test kits zilikuwa mbovu sio mojawapo ya njia ya kupambana na corona. Umetaja mataifa ambayo pia yalilalamika kuhusu hili. Swali ni je: hizo nchi zilitangaza kuwa corona imeisha kwao kisa waligundua kuna test kits gushi?

Kutaja cases hadharani inawezaje kuleta taharuki? Landa ufafanue hapo maana mimi ninavyojua ni kwamba Ni mojawapo ya njia za kueleza wanainchi kinachoendela na kuwakumbusha kuchukua tahadhari zaidi
Mwalimu wako alipata shida sana,kwa akili yako ya kuvukia barabara nilidhani nikiandika insha labda utaelewa,kumbe ndo nakupoteza kabisaaaa

Alamsiki
 
Kumbe unaelewa mambo ya generational wealth and tranfer, good. kama ume implement you are in the right track, giving your future generation a head start, what most Africans lack. [emoji108][emoji108][emoji106][emoji106][emoji106]
Iyo ndio imewatoa hata hao wakubwa uko east or west

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
kila mtu anatecnic zake za kupambana na jambo ama kitu flani,hatuwezi kufanana ndiyo maana wenye corona yenu tumewaacha muendelee kupambana na corona yenu kwa style yenu na hatujawaingilia.....

kikubwa results kwa upande wetu tumefanikiwa kuizima kabisa kwa 100% cha msingi muendelee tu kula githeri na kuvaa barakoa mpaka yesu arudi....wame zenu wamefel kupata dawa hadi leo wanaangaika....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] endeleeni kujikinga
Huyo jamaa ana bichwa ngumu sijawahi ona abadani..
 
Back
Top Bottom