Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi husema ni mtu binafsi ajitume ajikomboe, la sivyo sioni ukombozi kutoka katika serikali yeyote Africa! Hakuna! Let them just create condusive environment by building infrastracture, wakuchangamka tuchangamke, wakuzubaa shauri yao.
Yeah thats Is true we need true federalism without govt interference true laissez faire capitalism where people are allowed to operate private prisons, private airports etc not stupid govt regulations and bureaucracy not forgetting really low taxes smes shouldn't even pay taxes
 
BRT yoote ya dar wametumia zege.ila ni km ngapi sijui lakini kutoka posta nenda mpaka mbezi .rudi gerezani mpaka moroco.
Watu wanabishania km yeye anakwambia kujengwa ya kwanza😂😂😂😂
 
Hebu niambie, nyinyi mlipambana na hii pandemic in which effective way kando na Kuandaa maombi na kubania data? Which method did you employ to combat covid that the rest of the world didn't?
We nae kuwa uwe unaficha ujinga wako japo kdg, kwn USA hawajafanya maombi? Failed state hamjafanya maombi? Na mbn bado inawachinja? Mnatakiwa mkubali tu ukweli kwmb tz imeifundisha dunia kitu ilipaswa ifanyike japo inauma.
 
Back
Top Bottom