Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha viingereza mob pointless.

umeulizwa kama hearth service qualities kigezo cha kuishinda corona kama ulivyobeza tanzania!!!kwanini nyinyi mna wagonjwa wachache ukilinganisha na US!!!

ukakurupuka na pop,ulivyo wa ajabu ukasahau.tunakufuatilia kwa ukaribu sana unachoandika,usidhani unabishana na vilaza wenzako hapa.
Kajamaa kanajaribu kukukwepa..
 
Kama unajua kuna kitu chaitwa immunity kwa nini hutaki kukubali kuwa tz hakuna corona,au sisi wa tz sio waafrika??..na kwa nini ulizungumzia healthcare system wakati unajua afrika tumesaidiwa na immunity tuliyonayo!?..ukweli ni kwamba hata uwe na healthcare system bora kiasi gani kama ulikosea kutupa karata pindi covid inaingia basi utapata taabu sana,hizo nchi kama ulikuwa huzijui kama vile italy,france,germany,USA,russia ni miongoni mwa nchi zenye healthcare system bora kabisa ulimwenguni lakini zimeathirika kinoma yaani kosa lilifanyika awali covid ilivyokuwa ikiingia nchi hizo,kosa mojawapo ni upimaji (test),the more you test,the more you get infected..magu kashughulikia hilo na katoboa ..kubali ukatae!
Kwa hivyo immunity inapatikana tu kwa waafrika watanzania pekee yao? Hizi nchi zingine zote ambazo kuna corona hapa Africa watu wao hawana immunity?

If you read my response well, I did say that the presence of hardened immunity in Africans doesn't mean that good healthcare system has no role to play in combating covid. Ili ugundulike uko na corona, lazima upimwe kwenye kituo cha afya na ukipatikana nayo, it's the same healthcare system that will make the difference, Especially in severe cases.

Nchi kama USA ama Italy kuathirika zaidi Licha ya kuwa na advanced healthcare systems ni kwa sababu they were overwhelmed. Not because they don't have the means. Remember, there is no perfect system in the world. Mapungufu ni lazima and that's what happened in those countries you've mentioned above.

And who told you that the more you test the more you get infected? How logical is this statement? Kwako inamake sense kabisa?!
 
Kwa akili yako ambayo haiwezi kufikiri nje ya box lazima uone hai-make sense..na ndo maana hadi leo hii hujaelewa bado nini dhumuni la magufuli kupeleka sampuli ya mbuzi,papai na oil kule maabara,dogo watu wanafikiria mambo kwa umbali sana,tofauti na wewe unawaza in the same direction,ukiambiwa hiki we unakubali tu wala huwezi kufanya different thing on your own,
Kuhusu overwhelmed unayoizungumzia hapo,ni baada..yaani overwhelming ya system ni matokeo ya...na ndo maana hadi leo hii trump na serikali wanashutumiwa vikali jinsi walivyo-handle hii pandemic kabla ya kuingia america(fuatilia hotuba na tweet za trump kabla na baada ya case ya kwanza ya covid in states) hiyo ni kabla ya "overwhelming" unayosema..pia fuatilia mikanganyiko iliyotokea baina ya serikali ya newyork,california na federal..vivyohivyo kwa italy..

Healthcare system huwa nothing kwa pandemic ikiwa hiyo hiyo pandemic haikushughulikuwa vizuri pindi inapoanza,sasa ukiwa na serikali ya kipuuzi inayosubiri pandemic itawale kisha healthcare system ifanye kazi,badala ya ku-control pandemic mapema inapoanza..
 
Hebu niambie, nyinyi mlipambana na hii pandemic in which effective way kando na Kuandaa maombi na kubania data? Which method did you employ to combat covid that the rest of the world didn't?
 
Ni vyema ukaja TZ ukajionea mwenyewe kwa macho yko kuwa hakuna CORONA Tanzania, "Seeing is believing" na ukitaka transport tutakukatia ticket ya ndge pia.
 
Kwa hivyo corona siku hizi ni Kama donda linaonekana kwa macho? Do I need to come all the way to know there's corona in Tanzania?
 
Hebu niambie, nyinyi mlipambana na hii pandemic in which effective way kando na Kuandaa maombi na kubania data? Which method did you employ to combat covid that the rest of the world didn't?
Duh,hiyo the rest of the world unayosema walifuata 100% miongozo ya WHO ,na sisi pia tulijaribu kufuata lakini ile ambayo case zilipanda kwa kasi ya ajabu(kama unakumbuka lakini) serikali kupitia raisi mwenyewe akaitisha kikao na viongozi wa vyombo vya ulinzi na wataalamu wake,unajua ni kwa nini vyombo vya ulinzi?,kwanza serikali ya tz ilichukulia covid kama threat ya ki-usalama wa taifa,na si public health kama mlivyochukulia ninyi na WHO walivyotaka tuchukulie,na 90% ya mataifa ndivyo yalivyochukulia corona,na kwa kuwa ni threat ya usalama wa taifa tunawajua jirani zetu wanaotumika kama vibaraka,tukaamua kuwakwepa hasa kagame na huyo mlevi kunyatta,na ndo maana kipindi kile ulikuwa unaona kabisa migongano..
Kile kikao wakubwa walikuna sana vichwa,wakipiga hesabu ni namna gani hizi case zimeongezeka toka 123 hadi 500 ndani ya siku 2,wakaja na majibu either vile vifaa vya test huenda vikawa faulty,kwa hiyo wakakubaliana wapeleke sampuli ya vitu visiyo binadamu,vitu ambavyo si rahisi kuathirika na covid bila ya watu wa maabara kujua,zile sampuli zikapewa majina ya watu..baada ya kupima zile sampuli zikaja na majibu kwamba zina covid..ile kamati ikajiridhisha kuwa vifaa vile ni faulty,kwa sababu kama imewezekana sampuli ya papai kuwa positive,inashindikanaje sampuli ya mtu negative kuja na majibu ya postive!!??unaelewa hapo(kumbuka haya madai si tanzania tu,hata England,india,iran,south korea,germany,USA walilalamikia test tools kuwa zinatoa majibu ya uongo)

Kwa hiyo kuna uwezekano zile case 500+ huenda kuna njemba ni negative,ila kwa kuwa test tools ni faulty zimeleta jibu positive..kitu cha kwanza kabisa yule bibi wa maabara aliyesomea germany akatumbuliwa,pili kamati ikaja na solution kabambe,kwanzi ni kujikita katika kuwaondolea watu fear(hofu) hii kwa wataalam wa psychology wanaelewa,pili kuwapa watu tumaini(mfano kuwaambia watu kuwa corona inatibika kwa malimao,kujifukiza,tangawizi n.k,pia raisi mwenyewe alikuwa akiwaambia watu kuwa corona ni ka-ugonjwa kadogo tu,ni mafua tu. .!si kwamba alikuwa anadharau corona la hasha alikuwa anawapa wananchi wake tumaini)..
Ukifanya utafiti utagundua kuwa kutaja cases hadharani ni kuongeza taharuki kwa jamii,hivyo serikali ikaamua kufungia kabisa data,ukiwa na kichwamaji huwezi kuelewa kilichofanyika hapo..
Hayo yote niliyoyataja hayakutolewa na WHO,bali ni vichwa adhimu kutoka tz,kama kweli ulisoma vizuri elimu yako utaona kabisa utaalamu na weledi wa hali ya juu uliofanywa na serikali ya tz ktk kupambana na covid chini ya amir jesh mkuu mh pombe magufuli
 
Kwa hivyo corona siku hizi ni Kama donda linaonekana kwa macho? Do I need to come all the way to know there's corona in Tanzania?
Endelea kuweweseka humu maana ndio kitu pekee unaweza maana ukiambiwa uthibitishe vitu unavyo andika unaishia kubadilisha magoli,

Hiyo maneno kawaulize hawa wasanii wenu wanaokuja kutumbuiza Tanzania tena kipindi hiki cha janga la kirusi.

Kwa hivyo corona siku hizi ni Kama donda linaonekana kwa macho? Do I need to come all the way to know there's corona in Tanzania?
we ni mshamba wa wapi,,mbona unakuwa boya kiasi hicho yaani hadi leo unatuletea story za corona wakati sisi tumeshasahau hizo habari tunaendelea na maisha mengine,,wacha kupoteza mda unatumia nguvu nyingi for nothing.....

ukiwa na wakenya wenzako ndiyo muongee habari za corona na ushoga mlio nao,ukiongea na watz ongea story nyingine
 
Tafuta 50km concrete in africa ukipata nitag mm nifunge acc sasa hvi😂😂

We build it in 2006. Mbagathi Road

maxresdefault.jpg

.................and we are still building more.

zBlWkxm.jpg
 
we ni mshamba wa wapi,,mbona unakuwa boya kiasi hicho yaani hadi leo unatuletea story za corona wakati sisi tumeshasahau hizo habari tunaendelea na maisha mengine,,wacha kupoteza mda unatumia nguvu nyingi for nothing.....

ukiwa na wakenya wenzako ndiyo muongee habari za corona na ushoga mlio nao,ukiongea na watz ongea story nyingine
Story kama hizi hapa? 😂
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Duh,hiyo the rest of the world unayosema walifuata 100% miongozo ya WHO ,na sisi pia tulijaribu kufuata lakini ile ambayo case zilipanda kwa kasi ya ajabu(kama unakumbuka lakini) serikali kupitia raisi mwenyewe akaitisha kikao na viongozi wa vyombo vya ulinzi na wataalamu wake,unajua ni kwa nini vyombo vya ulinzi?,kwanza serikali ya tz ilichukulia covid kama threat ya ki-usalama wa taifa,na si public health kama mlivyochukulia ninyi na WHO walivyotaka tuchukulie,na 90% ya mataifa ndivyo yalivyochukulia corona,na kwa kuwa ni threat ya usalama wa taifa tunawajua jirani zetu wanaotumika kama vibaraka,tukaamua kuwakwepa hasa kagame na huyo mlevi kunyatta,na ndo maana kipindi kile ulikuwa unaona kabisa migongano..
Kile kikao wakubwa walikuna sana vichwa,wakipiga hesabu ni namna gani hizi case zimeongezeka toka 123 hadi 500 ndani ya siku 2,wakaja na majibu either vile vifaa vya test huenda vikawa faulty,kwa hiyo wakakubaliana wapeleke sampuli ya vitu visiyo binadamu,vitu ambavyo si rahisi kuathirika na covid bila ya watu wa maabara kujua,zile sampuli zikapewa majina ya watu..baada ya kupima zile sampuli zikaja na majibu kwamba zina covid..ile kamati ikajiridhisha kuwa vifaa vile ni faulty,kwa sababu kama imewezekana sampuli ya papai kuwa positive,inashindikanaje sampuli ya mtu negative kuja na majibu ya postive!!??unaelewa hapo(kumbuka haya madai si tanzania tu,hata England,india,iran,south korea,germany,USA walilalamikia test tools kuwa zinatoa majibu ya uongo)

Kwa hiyo kuna uwezekano zile case 500+ huenda kuna njemba ni negative,ila kwa kuwa test tools ni faulty zimeleta jibu positive..kitu cha kwanza kabisa yule bibi wa maabara aliyesomea germany akatumbuliwa,pili kamati ikaja na solution kabambe,kwanzi ni kujikita katika kuwaondolea watu fear(hofu) hii kwa wataalam wa psychology wanaelewa,pili kuwapa watu tumaini(mfano kuwaambia watu kuwa corona inatibika kwa malimao,kujifukiza,tangawizi n.k,pia raisi mwenyewe alikuwa akiwaambia watu kuwa corona ni ka-ugonjwa kadogo tu,ni mafua tu. .!si kwamba alikuwa anadharau corona la hasha alikuwa anawapa wananchi wake tumaini)..
Ukifanya utafiti utagundua kuwa kutaja cases hadharani ni kuongeza taharuki kwa jamii,hivyo serikali ikaamua kufungia kabisa data,ukiwa na kichwamaji huwezi kuelewa kilichofanyika hapo..
Hayo yote niliyoyataja hayakutolewa na WHO,bali ni vichwa adhimu kutoka tz,kama kweli ulisoma vizuri elimu yako utaona kabisa utaalamu na weledi wa hali ya juu uliofanywa na serikali ya tz ktk kupambana na covid chini ya amir jesh mkuu mh pombe magufuli
Umeandika insha refu sana ila sijapata mahali umesema kinagaubaga ni njia ipi Tanzania ilikabili corona. Kugundua eti test kits zilikuwa mbovu sio mojawapo ya njia ya kupambana na corona. Umetaja mataifa ambayo pia yalilalamika kuhusu hili. Swali ni je: hizo nchi zilitangaza kuwa corona imeisha kwao kisa waligundua kuna test kits gushi?

Kutaja cases hadharani inawezaje kuleta taharuki? Landa ufafanue hapo maana mimi ninavyojua ni kwamba Ni mojawapo ya njia za kueleza wanainchi kinachoendela na kuwakumbusha kuchukua tahadhari zaidi
 
Back
Top Bottom