ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Unless hii picha niwe nimepost mm ndio utanilaumu ππππππHutaki tena vitu kw ground jamani![]()
Unless hii picha niwe nimepost mm ndio utanilaumu ππππππHutaki tena vitu kw ground jamani![]()
Kwan hii picha kapost naniπππππUmepanic baada ya kuiona makupa
Nikuletee video au vipi![]()
Unless hii picha niwe nimepost mm ndio utanilaumu ππππππ
View attachment 1632638
So hzi gorofa ndio hzi πππππ Mungu atupe umri aisee dunia ina maajabu hiiHii hapa imekubali kwanguView attachment 1632627View attachment 1632628
kitu slimHii kitu tamu sana samsung fold2 5G
Pic by iphone 12 pro
View attachment 1632467View attachment 1632468


Mwanza modern bus terminal U/C, now at 52% and counting, construction is everywhere in this country.
Hii stendi ishakamilika 100%?
Ujinga umekithiri kwenye kichwa chake.itoshe kusema upumbavu wako nicxie ni premium.
kwahiyo hapa ratio kati yenu na US ikoje sasa kwenye idadi ya maambukizi???
nyinyi mko watu 50mln wagonjwa 40k
US wako 300mln wagonjwa 20mln,bado unataka kukumbatia ujinga???
Icho leo kakasirika, bado nakusaidia ku zoom kutoka kw ground



Kama unajua kuna kitu chaitwa immunity kwa nini hutaki kukubali kuwa tz hakuna corona,au sisi wa tz sio waafrika??..na kwa nini ulizungumzia healthcare system wakati unajua afrika tumesaidiwa na immunity tuliyonayo!?..ukweli ni kwamba hata uwe na healthcare system bora kiasi gani kama ulikosea kutupa karata pindi covid inaingia basi utapata taabu sana,hizo nchi kama ulikuwa huzijui kama vile italy,france,germany,USA,russia ni miongoni mwa nchi zenye healthcare system bora kabisa ulimwenguni lakini zimeathirika kinoma yaani kosa lilifanyika awali covid ilivyokuwa ikiingia nchi hizo,kosa mojawapo ni upimaji (test),the more you test,the more you get infected..magu kashughulikia hilo na katoboa ..kubali ukatae!Unajifanya mwelewa ila hakuna unachoelewa kaka. Nazungumzia immunity for very obvious reasons unless you want me to expound on that. Sibadilishi gear or anything but I am just trying to pump some sense into your head. What am saying is that immunity is one of the major reasons why Africa is reporting fewer cases than the rest of the world. That doesn't change the fact that African countries, Kenya and Tanzania included, have poor healthcare systems. If it wasn't for hardened immunity, Africa tungekufa kama nzi considering the nature of our healthcare system. Hardened immunity however, should not mean that good healthcare system has no role to play in combating covid.