Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo dickhead anakuwanga mjinga sana. Tunawaambia hapa kila siku kwamba level ya Dar ni Mombasa lakini hawasikii
Uhehehehehehehe kwa vile nairobi imeshindwa kutoboa sasa unaleta na mombasa 😂😂😂😂😂😂 kwa huu utumbo 👇👇👇👇👇
E6241CFD-EBD1-45C5-BE51-9457BC6008EF.jpeg
 
Unapojadili mambo kama haya hauhitaji kujadili kutumia hisia. Unaposema mbona USA iko na idadi mara nne ya wagonjwa nchini Kenya umejiuliza population ya USA ni ngapi? How can you compare a country with over 200 million people with a country of just over 50 million people? The dynamics are not the same. Hata hiyo Rwanda na Italy, do they have the same population?

The thing is, nchi inakuwa na wagonjwa wengi au wachache kulingana na idadi ya watu waliyoko kwenye nchi husika so your argument doesn't hold any water. Ni kweli USA iko na wagonjwa wengi mara nne ya Kenya kwa sababu the total number of people in USA pia ni mara nne ya Kenya. Vitu vingine ni kutumia tu akil.

Halafu bara la Africa kutoathirika zaidi is a question of hardened immunity na pia kuna baadhi ya nchi ambazo hazijaweka data zao wazi kuhusu huu ugonjwa, Tanzania ikiwa moja yao
We jamaa tz hakuna corona, mm cwez nikakaa hapa naongopa nijifuraishe kwa upuuzi cz am not a Kenyan, unapewa facts from ur hasbands na bado huamini ss usiongee pasipo ushahidi hebu weka ushahidi kwmb covid ipo tz, usiongee km mtu ambaye hajawahi fika hata primary.
 
Back
Top Bottom