Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karatu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
C7841ED1-FD9C-4204-92A6-2DE7031B2D50.jpeg
 
We jamaa tz hakuna corona, mm cwez nikakaa hapa naongopa nijifuraishe kwa upuuzi cz am not a Kenyan, unapewa facts from ur hasbands na bado huamini ss usiongee pasipo ushahidi hebu weka ushahidi kwmb covid ipo tz, usiongee km mtu ambaye hajawahi fika hata primary.
Sasa wewe mwenye ulifika primary mbona unabebeshwa ujinga na unakubali?
 
Uhehehehehehehe kwa vile nairobi imeshindwa kutoboa sasa unaleta na mombasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa huu utumbo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1632432
Umepanic baada ya kuiona makupa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikuletee video au vipi[emoji23][emoji23]
 
Niamini kwa lipi kwamba ww utanidanganya nn kuhusu mombasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa km hutaki vitu kw ground unatakaje sasa[emoji23][emoji23]
Wacha nikudanganye tena basi kw picha zingine au hutaki[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom