ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Can now handle 400,000 au hujasoma hapo baada ya expansion au uchizi unakusumbua wwMtwara port inapitisha mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka wakati Mombasa port inapitisha mizigo ya 30 million tonnes halafu huna aibu wala haya kupost upupu huo hapa? Yaani Mombasa port inapitisha mizigo mara tisini (×90) ya Mtwara. Hii ni aibu kwa East Africa. Usipost Mtwara tena siku nyingine. Hio ni white elephant kubwa sana.
Hebu linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes. Hahaha Mtwara ni white elephant.
Geza Ulole
inakuaje white elephant alaf mizigo inaongezeka au unazungumzia white elephant lamu port


