Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio barabara pekee ya zege africa yenye km zaidi ya 50[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1241][emoji1241]
Njombe rudewa

View attachment 1631256
Mombasa to mariakani wanajenga four lanes wewe na inamiminiwa we unakuja na ujinga wa matamshi ya serekali yenu[emoji23][emoji23]
images.jpeg-30.jpg


Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Tanzania tangu ianzishwe haijawahi kumpigia magoti yeyote.
Tulishawahi kufanyiwa sanctions na hatukumwabudu yeyote.

Tutashirikiana na yule anayeheshimu utu wa mwafrika.
Ulifanyiwa sanctions kulipokuwa na Eastern block! Saahii hawapo mzee.
 
Back
Top Bottom