Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama 20% ya EA, 80% zinapitia wapi!?
Mimi nimekupea break-down ya destination ya mizigo za Mombasa port. Majority destination ni Kenya. Around 20% ya mizigo ya Mombasa port destination ni Uganda. Halafu less than 10% ya mizigo ya Mombasa port destination ni other EA countries. Ama bado hujaelewa?
 
Hujajibu maswali yangu.
 
naona wanataka kurudia yaleyale ya Dar.. uwanja wa uhuru na wa mkapa uko sehem moja.. mim naona viwanja tofauti either football au other events arena ziwe sehem tofauti ili kupendezesha maeneo tofauti na si kupendezesha eneo moja.. mfano hapa Dar uwanja wa mkapa ungejengwa hata maeneo mbagala huko au gombo la mboto au huko maeneo ya kimara or other places.. wa uhuru ungebaki peke yake.. mawazo tu 🤷🏾‍♂️
 
naona wanataka kurudia yaleyale ya Dar.. uwanja wa uhuru na wa mkapa uko sehem moja.. mim naona viwanja tofauti either football au other events arena ziwe sehem tofauti ili kupendezesha maeneo tofauti na si kupendezesha eneo moja.. mfano hapa Dar uwanja wa mkapa ungejengwa hata maeneo mbagala huko au gombo la mboto au huko maeneo ya kimara or other places.. wa uhuru ungebaki peke yake.. mawazo tu
Ni kweli kabisa hata mm bado cjaelewa ilikuwaje planners waka suggest vile but on the other hand km wanataka isionekane km ilikosewa basi wapafanye pawe ni kijiji cha michezo kwa kujenga other sports infrastructures mfano Arena, aquatic stadium, etc.
 
naona wanataka kurudia yaleyale ya Dar.. uwanja wa uhuru na wa mkapa uko sehem moja.. mim naona viwanja tofauti either football au other events arena ziwe sehem tofauti ili kupendezesha maeneo tofauti na si kupendezesha eneo moja.. mfano hapa Dar uwanja wa mkapa ungejengwa hata maeneo mbagala huko au gombo la mboto au huko maeneo ya kimara or other places.. wa uhuru ungebaki peke yake.. mawazo tu 🤷🏾‍♂️
Si mbaya viwanja vikiwa sehemu moja yenye nafasi kama trend ilivyo around the world on sport complexes! Pale Dar wangeangalia namna ya kupanua site na kutenganisha Uhuru na Mkapa.
 
Back
Top Bottom