toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
😀 buda leo umekua kama honey badger kwa magixMi swezi mfanyia hivo,ako sawa sana
😀 buda leo umekua kama honey badger kwa magixMi swezi mfanyia hivo,ako sawa sana
Ogopa Mungu na uwache matusi.This discussion is very immature
🤣let's call a spade a spade magix amweza buda😀 buda leo umekua kama honey badger kwa magix
Tatizo lenu wakenya mnanuka. Mkienda chooni hamsafishi m4vi.🤣let's call a spade a spade magix amweza buda
Uheheheh since 2016 munajenga nn juu ya mbingu au 😅😅😅😅😅Mbona nikuonyeshe wakati hata billboard ya expressway hatukukuonyesha na ujenzi inaendelea?
Heheheheheheee ww uyo ndo unasema hv au ID wamei hackOgopa Mungu na uwache matusi.This discussion is very immature




December hii the expansion of Mtwara port to 1mln ton cargo capacity is to be launched! The size of Lamu port!Mtwara port inapitisha mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka wakati Mombasa port inapitisha mizigo ya 30 million tonnes halafu huna aibu wala haya kupost upupu huo hapa? Yaani Mombasa port inapitisha mizigo mara tisini (×90) ya Mtwara. Hii ni aibu kwa East Africa. Usipost Mtwara tena siku nyingine. Hio ni white elephant kubwa sana.
Hebu linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes. Hahaha Mtwara ni white elephant.
Geza Ulole
Kwenye toll fees ya kinyonyajiSerikali haijachangia wakati wakenya watagaramikia?? Ama serikali ni nini??





Hongereni lakini Kwani kuna tatizo gani akipostMtwara port inapitisha mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka wakati Mombasa port inapitisha mizigo ya 30 million tonnes halafu huna aibu wala haya kupost upupu huo hapa? Yaani Mombasa port inapitisha mizigo mara tisini (×90) ya Mtwara. Hii ni aibu kwa East Africa. Usipost Mtwara tena siku nyingine. Hio ni white elephant kubwa sana.
Hebu linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes. Hahaha Mtwara ni white elephant.
Geza Ulole
,ingekua ni bandari ya dsm siungesema sanaAsante kwa render.Kenya putting East Africa on the world map.View attachment 1631463
Tangu lini boss?mkifanya kenya mtasifiwa kenya na sio EAC Wacha unaaKenya putting East Africa on the world map.View attachment 1631463
Upon completion it will be the first Kenyan modern flyover the same as those built in Tz.Kenya putting East Africa on the world map.View attachment 1631463
Kila sehemu ni ujenzi tu yn hii nchi imekuwa tamu sn

