Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini Kuna wanaume wengi hii forum wana umama sana I expected kubishana na wanawake but it was the other way round[emoji23][emoji23].Yaani majority wenu nimeona heri muvalishwe dera.Wanaume wazima eti tunabishania urembo[emoji23][emoji23] nimeshangazwa sana.Hii section imejaa watoto bado.
Nyie wakenya hamtuwezi kwa chochote co hayo tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Barabara ya Sinza [emoji122][emoji122][emoji122]
20201119_092443.jpg
 
Sina makasiriko. On the other hand, wewe ndio uko na makasiriko to the point you resort to character assassination of people you don't even know and will never meet. About corona, it's so difficult to deal with a programmed mind like yours. Mshaaminishwa nyinyi ndio nchi pekee duniani ambayo haina corona so endelea kuamini hivyo. You are doing better than even developed countries
Umeshindwa kuthibitisha vitu nilivyo kuuliza unabwabwaja ovyo hapa.
 
Mbona huoneshi basi sehemu munajenga nairobi 88 since 2016😂😂😂 GTC ni china investment sio pesa zenu hzo na nairobi expressways the same issue ppp tena kumilikimiwa kwa 27good yrs huku akiwakamua ushuri wa 600ksh per car😂😂 zote pesa za mchina hzo haya tuoneshe project amabayo pesa yenu inafanya kazi tucheke sasa hvi

ingekua kenya ndio financier mungesubiri yesu ashuke kwanza aje kuwajengea nyie
Mbona nikuonyeshe wakati hata billboard ya expressway hatukukuonyesha na ujenzi inaendelea?
 
Nilipokuja kutembea nikaugua huko so nikaenda kuona vile rushwa ikitambaa kwanzia askari wa geti mpaka msafisha vioo😂😂😂😂😂
Hujajibu swali. Nimekuuliza ni nini ilikutoa nchi ya asali na maziwa kuja kuhangaika na rushwa Kenya?
 
Back
Top Bottom