Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi shindana na umoja wa ulaya km wewe nchi yako ni maskini, yani utapigwa ban hadi ushangae..
Mabeberu hao jamaa, walee wazee wa kusema magu kawabana mko wapi..
Tunaomba awajibu km yeye ni bulldozer na hayumbishwi

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Haka nako sijui kamekolezwa dushe maana kanaongea vitu havieleweki. Kwa hiyo hapo Kenya EU wakiwambia halalisheni ushoga au kusagana mtakubali tu kisa nyie ni nchi maskini? Huo ni mfano tu!
 
Haka nako sijui kamekolezwa dushe maana kanaongea vitu havieleweki. Kwa hiyo hapo Kenya EU wakiwambia halalisheni ushoga au kusagana mtakubali tu kisa nyie ni nchi maskini? Huo ni mfano tu!
Kwn ushoga si upo tangia kitambo, uuhalalishe upo uufungie upo..
Lkn udikteta ukiukemea unapuyanga na kutokomea

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Hao jamaa wana vitega uchumi sehemu nyingi tena za maana hata kuliko tz.
Tatizo siyo vitega uchumi bali pesa za bure. Tanzania kwa miaka 17 walikuwa wanajizolea dhahabu bila kulipa kodi na madini mengine mengi yalikuwa yanasombwa kama wanavyotaka.

Huko kwingine walikowekeza wanatakiwa kulipa kodi, kama nilivyosema pesa ya bure tamu.
 
Huu uzi upelekwe; "Habari na hoja mchanganyiko"., bado hakuna jibu so far, southerners wanatapatapa tu.
 
Tatizo siyo vitega uchumi bali pesa za bure. Tanzania kwa miaka 17 walikuwa wanajizolea dhahabu bila kulipa kodi na madini mengine mengi yalikuwa yanasombwa kama wanavyotaka.

Huko kwingine walikowekeza walitakiwa kulipa kodi, kama nilivyosema pesa ya bure tamu.
Uliskia mabeberu wanashida na visenti vya dhahabu, tena sio kutoka kw the leading country in the world..

Pesa kwn walishatupa ngapinhao mabeberu jamani, yale majamaa yanatka sehemu amabayo kuna mirija iliyoshiba, yani ukivuta hivi hadi tonge linapita..
We unakuja hapa kuturingishia na migodi ya dhahabu geita

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Uliskia mabeberu wanashida na visenti vya dhahabu, tena sio kutoka kw the leading country in the world..

Pesa kwn walishatupa ngapinhao mabeberu jamani, yale majamaa yanatka sehemu amabayo kuna mirija iliyoshiba, yani ukivuta hivi hadi tonge linapita..
We unakuja hapa kuturingishia na migodi ya dhahabu geita

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kweli leo inaonekana umekalia dushe vzr mpk umepagawa, aliyekuambia tz hakuna mafuta ni nani?

Alafu we chokoraa dhahabu, tanzanite na almasi unazichukuliaje?
 
Kweli leo inaonekana umekalia dushe vzr mpk umepagawa, aliyekuambia tz hakuna mafuta ni nani?

Alafu we chokoraa dhahabu, tanzanite na almasi unazichukuliaje?
Wale hawataki kujali vipo au havipo, tatizo lao je mirija tukiiwekelea itavuta kw miaka mingapi..

We unakujia upambe hapa, jiulize kwnn hawahangaiki na nyinyi km vile walivyotia figisu libya na venezuela..
Labda muanze kutengeza mabomu ya nyuklia, hapo kidogo mtawashawishi wajitie km wanataka kuikomboa dunia kutokana na majanga ya nyuklia yenu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
kuna sehem nimecheka... sijui imetungwa au kweli.. eti kuna mbunge kaongelea ishu ya terrorist attacks in southern part of tanzania kwamba ni sababu ya tanzania ipewe economic sanctions
yauwongo hiyo mkuu
 
Huyo jamaa au demu ni hovyo kweli Yaani kumjua mtu basi iwe ndo sababu ya kukubali kila kitu. Eti picha anazo sasa si atumie huko chumbani kwake. Yaani jamaa anaona sifa kabisa kua na picha za geza
Afu anakwambia eti mpka picha zako ninazo. Me nawaza tu aliwaza nn mpka kutafuta picha za watu akae nazo.

Tuendelee na mjadala....

Nairobi vs Dar es salaam
 
😅😅 Kuna vihoja na viroja humu kama vyote, yaani watu wanapelekwa tu na upepo, hawana msimamo

Mtu kasikia jambo tu huko, keshapeperuka nalo juu kwa juu, akifika pahala akasikia wenye akili wanatoa maoni yao yenye mantiki, ghafla anageuka msimamo wake wa awali anapepea na upya na msimamo mpya 😅😅😅

Yaani tafrani
kuna watu nlikua nawaona wa maana ila baada ya kupelekwa na upepo nkawashusha thamani, bila shaka siku za mbeleni wakikumbuka watajiona wajinga sana
 
mim nilivyoelewa majamaa wametoa maoni na wameomba maelezo! mtu kusema wamepiga sanctions sio kweli.. hakuna nchi ya EU inauhusiano mbaya na Tanzania.. kilichobaki ni kuwapa maelezo tu.. mambo yakae sawa.. haina tofauti na ile ishu ya mkopo wa elimu kutoka WB
Hakuna sanctions wala nini,tuchape kazi,Hii nchi iko affiliated na block zote kubwa duniani kwa utajiri iliyo nao.Shida ni moja kuna baadhi ya wabunge wa bunge la ulaya wameguswa kwny maslahi yao binafsi,wanataka wayageuze maslahi yao binafsi yawe maslahi ya nchi zao na EU kwa ujumla. Wanatafuta sana engo ya kutupasua,wanahangaika tu kiki zao zinabuma.Hata hili litabuma vile vile.
 
Uliskia mabeberu wanashida na visenti vya dhahabu, tena sio kutoka kw the leading country in the world..
Nchi kuwa kwenye orodha ya wazalishaji wa kuu wa dhahabu, haimaanishi kuwa zinaongoza kuwa na hazina kubwa ya madini yaliyopo ardhini. Kwetu walikuwa wanasafirisha makontena mengi wakisema ni mchanga tuu, huku wakiyapeleka madini yetu kwao kuyachenjua na kujumuisha katika orodha ya madini wanayozalishwa huko.

katika makontena 277 yaliyozuiliwa (2017) kulikuwa na dhahabu zaidi ya 7.5kg (kwa kila kontena) na jumla ya thamani ya madini ilikadiriwa kuwa $119,198,318.68 (kwa makontena 277).

Walikuwa wanasafirisha makontena 300 kwa mwezi na hivyo nchi kupoteza kiasi cha takriban $100million kwa mwezi ambayo ni sawa na $1.2trilion kwa mwaka.

Katika miaka 17 waliokuwa wakichimba, tumepoteza kiasi cha $20 trillion. Kukupa picha ya wingi wa pesa tuliyoipoteza, GDP ya Marekani (2018) ilikuwa sawa na $20trillion. Utaitaje $20T visenti?

Siku zote ukisikia mbwa anabweka baada ya jiwe kutupwa gizani, ujue limempata. Ndiyo hizo kelele za hao wabunge wa Ulaya.
 
Wewe mbona upo kama sikuelewi? Sio wewe nimekusoma hapo ukishadadia hizo sanctions?
Mimi sijashadadia sanction bali nimeandika taarifa inayosemea kuhusiana na sanction ambayo tunaweza kupewa na EU.kama umeona kuna sehemu nimeshadadia sanction weka nione
 
Back
Top Bottom