Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,254
Hata mimi nilipoisoma nilicheka sana, tena muda huo nilikua naongea na haohao mabeberu kwenye MS Teams wakiwa hukohuko Brussels.someni huku [emoji23][emoji23]
Wachangiaji Bunge la Ulaya washauri kukatwa kwa misaada Tanzania https://www.jamiiforums.com/index.p...ashauri-kukatwa-kwa-misaada-Tanzania.1811565/
Vitu viiili vilivyonishangaza:
1: hilo la terrorsism Kusini mwa Tanzania linakuwaje ni kosa kwa Tanzania?
2: Issue ya COVID-19 kua eti serikali yeti haijali miongozo ya WHO, eti tunaficha data, sasa mbona mabalozi wao wotenchini including wa USA hawavai barakoa bongo, Kwani wamelazimishwa kutovaa barakoa? mbona waTanzania wanaendelea na shughuli za kila siku bila mashaka yeyote? watalii wanakuja kam kawaida etc...
Nilichogundua ni kamba hao wajumbe wa hiyo kamati hawana any clue about Tanzania, yaani kuna mtu au kikundi cha watu ambao wanawalisha va ery distorted view ya Tanzania. Anyway hawatafanikiwa.
Anglia hio barua hapa chini: