Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Na sasa kama ulikuwa unajua inajengwa na pesa ya mchina mbona unalikuwa unawashwa uonyeshwe billboard? Hiyo billboard bado haipo hadi saa hii lakini barabara inajengwa 😂Unehehhe hio ndio sehemu munajenga kwan pinnacle mulituambiaje do u remb😂😂😂 expressway ingeku ni pesa zingoka kwa mfuko wa mkenya subutu munegesubiri miaka 200 kumbe ppp mchina anamilki miaka 27 huku akiwakamua ushuru wa 600ksh per car hapo sawa subiri muone dunia ilivo chungu 😂😂😂😂😂. Mchina kawashika pabaya sana