simon ameshatuma au bado hujaiona hiyo taarifa
Yaani hadi kujiendesha sisi wenyewe kuhusiana na corona wanatujadili tena.duh wanataka tuwaabudu sana amamkuu hayo ni majadiliano na sio uamuzi.. sioni jambo la maana hapo.. kama ni maelezo watajibiwa na serikali
afu eti wanalalamika kwann hatujafata masharti yao na WHO kuhusu corona .. yan wanataka tujifungie ndan ili tusiendelee na shughuli zetu za siku za uzalishaji?? [emoji2377]
Kenya kila uchaguzi lazima watu wanauliwa sio chini ya 50, onyesha lini watanzania wameuliwa kwasababu za uchaguziNionyeshe lini kenya kulitokea vurugu before uchaguzi km nyie na hao waganda wanavyokinukisha hko..
Ukioata nitag[emoji23]
Hatuwezi kuzuia Air Tanzania kuja Nairobi kwa sababu KQ inategemea sana route ya Tanzania kwa mapato yake. Hatutaki tit for tat ya Jiwe. KQ inakatiza route ya Nai-Dar mara kadhaa kwa wiki.
Kenya kila uchaguzi lazima watu wanauliwa sio chini yaNionyeshe lini kenya kulitokea vurugu before uchaguzi km nyie na hao waganda wanavyokinukisha hko..
Ukioata nitag![]()
Ila baada ya uchaguzi mnachinjana" in hudreds"Kenya hakuna siku jamaa walifanya vurugu kabla ya uchaguzi, watu huoiga kura kw amani sana..
Natamani kusema kuwa hao jamaa ni Wasenge tuWangeanza kuchunguza percentage ya watz wanaolalamikia uchaguzi na wale ambao wameridhika na matokeo zen ndo waweke hcho kikao chao lkn co eti watuwekee kikao kisa kelele za mpumbavu mmoja waliemtuma.
It is currently on expansionIpo sawa hii hospitali na madaktari pia
Hivi ni vitu JPM hajui madaraka yamemuingia kichwani! Ngoja dhahabu yetu na watalii kutoka nchi za magharibi wapigwe marufuku kuja tuone tutatoka vipi!Yale aliyokuwa anasema Geza Ulole yameshaanza kutimia.economic sanction imeshaanza kutoka EU.kuna watu walikuwa wanambeza sana.ila matokeo ya hii economic sanction tutaumia sisi wananchi na sio viongozi.itakuja kuwa kama ya Zimbabwe mtu unaenda na furushi la pesa sokoniView attachment 1630024
Miaka hii tunaongelea ukoloni.Hivi ni vitu JPM hajui madaraka yamemuingia kichwani! Ngoja yetu dhahabu ipigwe marufuku nchi za magharibi tuone tutauza wapi!
Hawataki kuambiwa ukweli wa lijalo! Hii maneno inatupeleka Zimbabwe! kuna watu humu ndani sidhani hata wanajua nani ni main trading partners wetu! EU is among the main trading partner wetu, EU wakituwekea trade sanctions na US anafuata.Matusi hayana maana kwa mtu aliyeelimika
Some times nashangaa sana hawa wazungu. Hivi kati ya Rwanda na Tanzania ni wapi hakuna demokrasia? Rwanda pamoja na kutawaliwa kwa mkono wa chuma wa Kagame na kuwaminya wapinzani kwa miaka zaidi ya 20 wazungu wanaona yanayofanyika Rwanda ni demokrasia. It is really amazing, ninajua hakuna watu wanafiki hapa duniani kama wazungu hasa maslahi yao katika nchi za afrika na arabuni yanapokuwa yameguswa. Watatumia kisingizio chochote hata kama ni cha kijanga kabisa ili tu wapate nafasi ya kumwadhibu anayetishia maslahi yao ya kinyonyaji.Tunatishana tishana tu hapa walete hzo sanction bhn, mbn hawapeleki sanction America na madudu yametokea dunia nzima imeona? Mbn America hakuna democracy na dunia nzima inajua na hawapeleki sanction, Africa tukiendelea kuwasujudia Hawa wasenge tutaendelea kudumaa kila siku, mbn wameweka sanction zao kule Zimbabwe na maisha yanaendelea tu? Waweke hzo sanction zao wasenge hawa wanataka kutupangia maisha wkt this is a sovereign country.
Mawazo ya kichawi hayo!Hivi ni vitu JPM hajui madaraka yamemuingia kichwani! Ngoja dhahabu yetu na watalii kutoka nchi za magharibi wapigwe marufuku kuja tuone tutatoka vipi!
Hawa this time tutakula nao sahani moja, hope 2025 watazoea na kuelewea sisi sio wale wa Mr NdioSome times nashangaa sana hawa wazungu. Hivi kati ya Rwanda na Tanzania ni wapi hakuna demokrasia? Rwanda pamoja na kutawaliwa kwa mkono wa chuma wa Kagame na kuwaminya wapinzani kwa miaka zaidi ya 20 wazungu wanaona yanayofanyika Rwanda ni demokrasia. It is really amazing, ninajua hakuna watu wanafiki hapa duniani kama wazungu hasa maslahi yao katika nchi za afrika na arabuni yanapokuwa yameguswa. Watatumia kisingizio chochote hata kama ni cha kijanga kabisa ili tu wapate nafasi ya kumwadhibu anayetishia maslahi yao ya kinyonyaji.
Ndio maana mwalimu Nyerere sometimes pamoja na nchi kuwa changa kiuchumi alikuwa very bold kwa mambo ya kijinga yaliyokuwa yanataka kufanywa na wazungu hapa nchini na wakati mwingine kufunga uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na hayo mataifa ya ulaya yaliyokuwa yanataka kutuamulia ni kitu gani cha kufanya mfano Uingereza na ujerumani. (rejea historia hiyo)
Wewe mbona upo kama sikuelewi? Sio wewe nimekusoma hapo ukishadadia hizo sanctions? 🤔Yaani hadi kujiendesha sisi wenyewe kuhusiana na corona wanatujadili tena.duh wanataka tuwaabudu sana ama