Kwn ni overpass to nowhere basi hata kuwa serious gezaPitia picha za Kimara highway na usisahau in Dodoma city the 110 km ring road will have several overpasses ! halafu na sisi tuletee ujenzi wa daraja la over 1 km Kenya nzima!
Sababu kuu ni kuwa sisi sio watumwa nchini kwetu.Yet Tanzanians are the least traveled East Africans.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hizo ni bange za kutaka kuleta formula one kwenye wilaya ambayo hata chakula watu hawana...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakenya wanazingua sana hiyo ni utopolo gani sasa.......quality yake ni zero kabisaHuu uchafu ni flyover tu Kunyaland [emoji28][emoji28][emoji28]
Outside Kunyaland this is load of shit
View attachment 1629444
[emoji1787][emoji1787] acha ukorofi bro haujui kuwa humo ndani kuna tunnel ya 130kmHumo walipojengelea tofali wanafuga kuku au[emoji28][emoji28]
hapa sio mauaji ni mbuzi wamechinjwa supuTuonyeshe lini before kura zipigwe watu wakaleta vurugu...
Hayo ni mambo ya magu na museven tu, uchaguzi bado siku tatu watu wanapigwa risai..
Kisa wanahofia kupokonywa madaraka
You guys are fools, headless chickens, what has the $120m done at that bare land called conzaThis current budget year alone the GOK has invested ksh 12 billion ($120 million) into Konza. Kama hujui kitu nyamaza.
Soma hapa
Tabia ya kuongoza idadi ya wanafunzi hewa kunafanya wapate bajeti kubwa zaidi, upigaji juu ya upigaji,Haya scandal mpya kabisa haijapoa bado[emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye akili zao[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Get a brain.Sababu kuu ni kuwa sisi sio watumwa nchini kwetu.
Mtanzani wa kawaida kabisa anauwezo wakumiliki ardhi na kufanya biashara ndogo ndogo, na kama anaakili za ujasiliamali anaweza kutajirika. Hakuna nchi yoyote Afrika kufananisha na Tanzania kwenye maendeleo yanayojumuisha watu wote.
Pili, hati za kusafiria Tanzania zilikuwa hazitolewi hovyo hovyo na kuanzia 2016 serikali ilianza tena kubana kutoa hati.
Kipindi cha zamani (enzi za Nyerere) ilikuwa ni lazima upate 'exit visa' (kibali kutoka serikalini) kabla ya kuondoka nchini. Hii ilifanya watanzania wengi kutojisumbua kuondoka, na hata walipoondoa masharti bado wengi wakawa hawataki kuondoka.
Are you ready to battle you poor girl!?Get a brain.
Uhehhehe rudi kwneye comment ya kilaza mwenzio aalf urudi kwenye comment yangu bogus ππππsometimes you reason like a kid...so mahali boundary ya nairobi county imeishia ndio nairobi city lazima iishie hapo juu kuna wall imeekwa kuznguka county?...iyo part ingine tuiite mombasa town.hivi shule ulienda kusindikiza wenzako au?
Siku hzi una ni quote nakumbuka uliacha πππππ swali is thika in nairobi ???If you understood what a metropolis is, we could talk.
Unehehhe hio ndio sehemu munajenga kwan pinnacle mulituambiaje do u rembπππ expressway ingeku ni pesa zingoka kwa mfuko wa mkenya subutu munegesubiri miaka 200 kumbe ppp mchina anamilki miaka 27 huku akiwakamua ushuru wa 600ksh per car hapo sawa subiri muone dunia ilivo chungu πππππ. Mchina kawashika pabaya sanaYou've always said the same thing about all projects in Kenya mwishowe unatoka na aibu. Ni juzi tu ulikuwa unataka uonyeshwe billboard ya expressway. Baada ya kupata mshtuko wa moyo kuona inajengwa hujawahi ongea ujinga za billboard tena. Hata hii pia utaibika tu mwishowe kama kawa
Bring evidence of each year's budget since the start of the project! BTW what came to Konza city was Kshs 6.3 bln, 9th year down the line as the only money invested so far out of $14 bln needed to make the place a reality!This current budget year alone the GOK has invested ksh 12 billion ($120 million) into Konza. Kama hujui kitu nyamaza.
Soma hapa
Mpatie definition hiiSiku hzi una ni quote nakumbuka uliacha πππππ swali is thika in nairobi ???
Siku hzi una ni quote nakumbuka uliacha πππππ swali is thika in nairobi ???
Hapo kuna uchaguzi siohapa sio mauaji ni mbuzi wamechinjwa supu
Hao sijui tanga tanga na kieleweke ni vikundi vya ngumi? Au siasa?Hapo kuna uchaguzi sio
Mmekolea na buku na mia saba? Vp mkifika 10000 mtasema mnaungulia AUSasa hapo $1080 mna mguu moja ndani na nyingine nje. Mkicheza kidogo mnarudi LDC. Ndio maana nikasema rika yenu Uganda. Sisi hakuna jinsi tunaweza kurudi LDC. $1750 iko mbali sana na cutoff point ya Ldc lakini nyie mkicheza mnarudishwa LDC. Sisi tumekolea hapa mido inkamu kuanzia 2013.