Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa buda. Sasa mbona umrekebishe ukitumia kiingereza na lugha yenyewe huijui?
Scavenger una matatizo mengi zaidi ya niliyokurekebisha, tatizo la udumavu wa akili nchini Kenya ni kubwa sana kutokana na uhaba wa lishe, so sikushangai! Ni tatizo la kimfumo, wote ninyi wakenya ni vichaa watupu 😢😥😥🤔😅
 
Waendelee kusubiri miaka 100😂😂👇
6A047098-DA2D-4337-B733-DDEA9B3B71EF.jpeg
C92F3156-1085-4F45-8C75-5F43D1357737.jpeg
259BCC24-57D6-4985-BC0F-16F91D116805.jpeg
45BF3C0C-CFF7-4945-B5ED-625E01719EC3.jpeg
 
Hii ndio sababu Mungu hawezi kuondoa corona kenya😂😂👇👇

 
Kuna ile michezo ya watoto wa zamani wakiona gari kila mtu husema ni lake.
Maskini, linaweza pita hata gari la wizi wakasema pia ni lao.
Ili mradi tu wameenjoy.
 
Nani kakwambia marekani internet ni bure, we jamaa bana..
Sema wamerahisishiwaa huduma kule wala hakuna mambo ya sijui vocha mara eti sijui kujiunga bando..

Bt mwisho wa siku you have to pay your bills..
Jaribu hata kutafuta visa utoke bongo uende kw trump uone vile mambo yanaenda jamani..
Ukurupukaji unazidi kukudumaza akili
Wamerahisishiwa kwasabu wamarekani ni maskini eti.
 
Scavenger una matatizo mengi zaidi ya niliyokurekebisha, tatizo la udumavu wa akili nchini Kenya ni kubwa sana kutokana na uhaba wa lishe, so sikushangai! Ni tatizo la kimfumo, wote ninyi wakenya ni vichaa watupu [emoji22][emoji26][emoji26][emoji848][emoji28]
Hii misukule a.k.a machokoraa unaipatia sana mkuu, hahahahahaaaa
 
Kwa haya yanayofanyika tz itakapofika 2025 inshaalah km gdp haijagonga $200bl naondoka jf.
Gdp ifike $200 billion kutoka $63 billion in 5 years? That is a crazy statement. Itabidi mkuwe kwa zaidi ya 20% kila mwaka. Hamtafikisha hata 10% p.a growth rate.
 
Gdp ifike $200 billion kutoka $63 billion in 5 years? That is a crazy statement. Itabidi mkuwe kwa zaidi ya 20% kila mwaka. Hamtafikisha hata 10% p.a growth rate.
We tulia hivyo hivyo utaona, halafu nani alokwambia GDP yetu ni 63?
 
Sasa Tony mbn matusi makali hv daaahhh aisee hahahahaaaa, sindano imezd aloo.
Huyo nimemblock. Sitawahi kuzungumza naye. Amenikosea heshima. Yeye ndiye ameanza matusi mimi nimemalizia tu. Watanzania mnadhani ninyi ndio mnajua matusi na sisi hatujui? Au pengine aliona mimi ni mpole akadhani upole wangu ni unyonge? Kuna wimbo wa reggae unasema " don't confuse my kindness for weakness." Yaani usione simba kanyeshewa ukadhani paka. Yeye ndio alianza na matusi na madharau mimi nikamalizia tu. Sio kawaida yangu kuanzisha ugomvi lakini ni kawaida yangu kumaliza ugomvi. Sasa hio ng'ombe sitawahi kuiona tena kwa timeline yangu. Hilo jina Natonjr sitawahi kuliona tena.
 
We tulia hvyo hvyo utaona, alafu nani alokwambia GDP yetu ni 63?
Kila bodi linaloheshimika ikiwemo serikali yenu, Imf, WB na UN zimesema Gdp yenu ipo between $60 billion - $70 billion. Hakuna bodi yoyote iliyosema kwamba Gdp yenu imepita $70 billion
 
What Naton Jr was telling you, wasn't the actual price. Expensive is relative, a monthly bill could be $100 but if you get paid $10k a month (a ratio of 1 to 100), it's relatively cheaper.
Wacha uwenge wewe, unajua mtu anayelipwa $10k per month USA ni mtu wa aina gani..
Ukurupukaji km kawaida yenu
 
Back
Top Bottom