Wewe huelewi. Post-panamax ni meli kubwa na inaweza kubeba kutoka China mizigo inayokwenda Afrika na Europa kwa safari moja. Kisha inatia nanga Lamu na kupakua mizigo ya (Dar port, Mombasa port na Djibouti port) kisha inaelekea bara la Europa. Halingojei meli ndogo ifike Dar na kurudi na mizigo kama ulivyosema. Hakuna mahali nimesema kuwa meli ndogo itapekeka mizigo Dar kisha irudi na mizigo Lamu. Post-panamax haina muda wa kungoja meli ndogo iende Dar na kurudi na mizigo. Post-panamax haichelewi hapo Lamu port, inamwaga mizigo na kuondoka.