Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hio swali yakuuliza kweli? are you serious..hadi wenzio wamekubali na kuinua mikono..
Wacha upuuzi, hao ni ufipa a.k.a team Lissu na tukiamua kuleta hapa tweet za wakenya wa insta huwa mnalia humu, hakuna mtz anayejitambua asijue jinc tuko juu ukanda huu.
 
Yani nyie watu ni waongo sijapata ona, picha hz ambazo umeweka hapa unasema ni interchange alafu picha Hii hii huwa mnasema ni brt yn maendeleo ya tz yanawapa sleepless mby[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
I can see your confusion can't allow you to catch up with the projects going on in Kenya

.

.

A109 | Mombasa-Mariakani Highway | 42km
 
Sasa nieleze hiyo ndiyo expressway au ni nn mana hzo hzo picha mnasema interchange hzo hzo brt zen hzo hzo huwa mnasema expressway, kwnn mnakuwa waongo waongo nyie viumbe.
expressway inajengwa nairobi.from mlolongo to westlands,,,,hio picha niya road project mombasa..from kibarani mpaka jomvu then finally mariakani....brt inajengwa na stecol corporation thika road mpaka kenyatta hospital...nini huelewi hapo
 
Sasa nieleze hiyo ndiyo expressway au ni nn mana hzo hzo picha mnasema interchange hzo hzo brt zen hzo hzo huwa mnasema expressway, kwnn mnakuwa waongo waongo nyie viumbe.
Jamaa naona unachizika sasa[emoji23][emoji23]
Yani mombasa inakutoa uharo hvo
 
expressway inajengwa nairobi.from mlolongo to westlands,,,,hio picha niya road project mombasa..from kibarani mpaka jomvu then finally mariakani....brt inajengwa na stecol corporation thika road mpaka kenyatta hospital...nini huelewi hapo
Hebu weka picha ya hyo brt tuone unadhani brt ni kama kujenga choo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maybe in extreme poverty
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1605530316885.jpeg
 
Sasa nieleze hiyo ndiyo expressway au ni nn mana hzo hzo picha mnasema interchange hzo hzo brt zen hzo hzo huwa mnasema expressway, kwnn mnakuwa waongo waongo nyie viumbe.
Ashakuambia hiyo picha Ni ya Mombasa. Ni lini tulisema expressway inajengwa Mombasa?
 
Back
Top Bottom