Mimi nimeongelea kitu kimoja kuhusu huu mradi from the word go. Na ninachosema ni kwamba hamna pesa ya kujenga bagamoyo port.
Hizi za kusema ni white elephant ni vilaza wenzako walikuja nazo hapa kama visingizio as you always do. Hakuna mahali mimi nimesema it's a white elephant.
Kulipa compensation sio tatizo. Ungejiuliza hiyo pesa ya kulipa compensation ilikuwa ni percentage ngapi ya cost yote ya mradi. Pengine it's just less than 5%, you never know. Mlifanya haya yote in the hope that mchina angeendeleza mradi coz you didn't and still don't have the funds to finance this project. Hizi za kusema it's a white elephant ni visingizio tu za kijinga