Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

42852179564_5989e59f81_b.jpg
 
hebu fuatilizieni comment apa kwa hili tweet..muone venye expressway imeshangaza wa TZ..hatimaye wamekubali kenya ni nchi imeendelea sana..hapa mulini chenga sana na viswahili zenu

Shida ni hizi mbuzi zinadhani expressway itakamilika 2026 but actually itakamilika 2022.
 
apo mwenye hio tweet alikosea but alikuja kurekebisha kwa next tweet..aki pitia hizo comment utashanga mbona hapa tunabishana na hawa jirani na kumbe waga wanajua kenya ipo juu sana
 
Hizo comments ndio ninaenda kuzisoma saa hii. Wanajua tuko mbele wanajifanya mazuzu tu.
 
Wanaolia ni wakenya wenzako wakilalamikia serikali fare kuwa kubwa.
Matatu kutoka Cbd hadi embakasi pia ni ksh 100. Sasa walikuwa wanategemea nauli ya train iwe tofauti na matatu? Wewe hujui bei ya nauli hapa Kenya. Hao ni Wakenya useless wanapenda kulialia kila wakati
 
Mkiwa jamiiforums mnakuwa wazalendo vipofu na hii ndio kawaida ya wakunya ila mkiwa kwa ground mnalalamikia hiyo fare [emoji23][emoji23][emoji23]
hutawezana na mambo ya wakenya watalalamika ilhali wanaipanda vizuri..kumbuka SGR ilipozinduliwa..walilalamika lakini wapi bado waipanda ...

Wakenya ni vile tunapenda kucomplain sana sijui kwa nini. Huko skyscraper city unakuta Wakenya wanalia sana eti mradi wa expressway ni mbaya ati wanataka tunnel ichimbwe chini ya Nairobi. Yaani expectation iko juu sana. Halafu basi za Brt niliyopost wanasema ati it is not low enough ati lazima iwe low kabisa. Yaani kama mtu anaweza complain about expressway basi huyo hawezi tosheka na maisha. Hata hiyo tunnel ikijengwa ataitafutia makosa.
 
Mkiwa jamiiforums mnakuwa wazalendo vipofu na hii ndio kawaida ya wakunya ila mkiwa kwa ground mnalalamikia hiyo fare [emoji23][emoji23][emoji23]
Boss wewe umeishi Kenya kwa muda mrefu hata unajua kuongea sheng. Sasa kama umefika Nairobi basi unajua kuwa nauli kutoka Cbd hadi embakasi ni ksh 100. Sasa hizo ng'ombe kama hazitaki kupanda train basi zipande matatu zipambane na jam ya Mombasa road. Kumbuka train haina jam.
 
Back
Top Bottom