Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya ni vile tunapenda kucomplain sana sijui kwa nini. Huko skyscraper city unakuta Wakenya wanalia sana eti mradi wa expressway ni mbaya ati wanataka tunnel ichimbwe chini ya Nairobi. Yaani expectation iko juu sana. Halafu basi za Brt niliyopost wanasema ati it is not low enough ati lazima iwe low kabisa. Yaani kama mtu anaweza complain about expressway basi huyo hawezi tosheka na maisha. Hata hiyo tunnel ikijengwa ataitafutia makosa.
alafu by the way ukifuatilizia vizuri watu wenye kulalamika hawajui kwanini wanalalamika hao bora wameskia watu wanalalmika..juzi naskia mtu analalamika ati expressway ni taxpayers money inaharibiwa..ilhali hajui hiyo barabara ni investor..
 
1605596301895.png
 
haa kumbe barabara ya Nairobi Mombasa bado kukamilika mpaka leo.
hebu fuatilizieni comment apa kwa hili tweet..muone venye expressway imeshangaza wa TZ..hatimaye wamekubali kenya ni nchi imeendelea sana..hapa mulini chenga sana na viswahili zenu

Boss wewe umeishi Kenya kwa muda mrefu hata unajua kuongea sheng. Sasa kama umefika Nairobi basi unajua kuwa nauli kutoka Cbd hadi embakasi ni ksh 100. Sasa hizo ng'ombe kama hazitaki kupanda train basi zipande matatu zipambane na jam ya Mombasa road. Kumbuka train haina jam.
So kwa sababu haina jam ndio serikali yenu iwakamue hivo?

Huku Tanzania BRT haina jamu ya barabarani na wananchi hawakamuliwi na serikali fare kubwa hivo,

Huo utetezi wako hauna mashiko hata kidogo ni bora unge ignore comment yangu.
 
Sawa wacha nikuignore basi.
 
Mtanzania kasema "Ile ya Ubungo ni calvert ya kupitishia maji chafu"
Hahaha
😁 😁 😁 👍😁

Screenshot_20201117-102304.jpg
 
Ni kitu gani kinakufanya usijue kwmb hao ni wakenya wenzio? Mtanzania gani anaongea hvyo mbn wajinga sn nyie watu?
boss pitia apo..soma comments za wenzio..ata kiswahili chenye kinaongelewa apa ni ki tanzania..huoni kwenye comment section wakenya wameshindwa waseme nin
 
Ni kitu gani kinakufanya usijue kwmb hao ni wakenya wenzio? Mtanzania gani anaongea hvyo mbn wajinga sn nyie watu?
Hao ni wabongo. Sisi Wakenya hatuwezi iga kiswahili chenu. MK254 na Wakenya walioishi huko Bongo ndio Wakenya pekee wanaoweza kuiga hicho kiswahili chenu kigumu. Kiswahili chenu ni tofauti sana na chetu na wala Mkenya hawezi kuiga kiswahili chenu ikiwa hajaishi huko kwenu.
 
boss pitia apo..soma comments za wenzio..ata kiswahili chenye kinaongelewa apa ni ki tanzania..huoni kwenye comment section wakenya wameshindwa waseme nin

Huyu jamaa ako in denial. Kiswahili cha Kitanzania ni tofauti sana na chetu. Sasa hataki kukubali kuwa Watanzania wenzake wanasifu Nairobi expressway.
 
Huyu jamaa ako in denial. Kiswahili cha Kitanzania ni tofauti sana na chetu. Sasa hataki kukubali kuwa Watanzania wenzake wanasifu Nairobi expressway.
amenishtua sana na comment yake,,hadi nika baki..like WTF is this guy? itabidi akuje mwenye ajionee juu wenzake washakubali
 
Wabongo hapa JF hawapendi huyu jamaa Lord Abraham Mutai but anabonga ukweli

Screenshot_20201117-104407.jpg
 
Back
Top Bottom