Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duuh ni hatari, Tanzania jamani
Hapo Bado
Standard gauge railway, SGR
Barabara ya Kimara-chalinze, 8 ways
Bandar kavu kwala
Salendar bridge
Busisi bridge (3km)
Kuna wahuni wanashusha magorofa mjini

Nakadharika nk
 
Unabisha nini watu wameshangilia siku 3 mfululizo...we jamaa hujielewi,sasa watu wameshinda uchaguzi wasishangilie kwa nini
Kwhyo mulishangilia kimya kimya sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie mbona hamjuilewi, yani kila kitu mnataka mforce tu ilimradi muonekane km kwenu mambo shwari kumbe anayejua Mungu[emoji122][emoji122]
 
Punguza maumivu[emoji1787][emoji1787]
 
Kwenu km sikosei huruhusiwi kutumia kitambulisho chako ku register line za voda mara mbili..

Kwetu sisi hata line tano za safaricom unaweza miliki
 
Kwhyo tulihomga sio[emoji1787][emoji1787]
 
Zanzibar ina cruise terminal! Na speech ya leo Bungeni Dodoma Magufuli kaahidi kujenga cruise terminal mpya Dar.
Jiwe na jeuri zake zote kuna mambo ana refer kimya kimya kutoka kenya[emoji1787][emoji1787]
 
tunaruhusiwa vizur... so wengine nigeria na egypt nao hawaruhusiwi? kias kwamba ratio ya population/IU inalingana na ya kwetu na sio kama yenu above 90%???
Sasa sio data zote wametoa wao mbona muumwe na wakati wanajua km wametumia vigezo gani...

Kisha acha kunidanganya km unauwezo wa kumiliki voda tano bongo,..
Km sikosei mara mwisho mlipoanza ku register watu hyo ilikua hairuhusiwi mpka watu wakaanza kulalamika na wale watoto ambao hawana id itakuaje..
 
wazee wa kupika data hadi unafika mahali unauzunguza
Mnalialia nn na wakati watu wa statistics wamewaeka chini yetu hata kw mobile subscriptions...
Itabidi muende mkawahonge na nyie km tulivyofanya sisi..

Nchi iliyojaa wazembe wa fikra
 
Wakiskia internet users wazee wa south huwaza insta na page za udaku...
Kenya internet hatuitumii kisa kupekua page za udaku,
 
Kwenu km sikosei huruhusiwi kutumia kitambulisho chako ku register line za voda mara mbili..

Kwetu sisi hata line tano za safaricom unaweza miliki
Alikudanganya nani kuwa haturuhusiwi?

Vitu kama huvijui achana navyo,

Unaruhusiwa kusajili line zaidi ya moja kwenye mtandao mmoja ila utaitajika kuzirasimisha (primary & secondary) mwenyewe kwa kuingia kwenye menu ya *106#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…