Mr bongo
JF-Expert Member
- Mar 18, 2019
- 462
- 1,015
Hapa ndo nimeelewa maana ya nileteeni gwajima×3
Mwaka huu kweli shuguli ipo bungeni..
hebu tutonye mzee, Gwajima yupo kwa dhumuni gani?Hapa ndo nimeelewa maana ya nileteeni gwajima×3
Mwaka huu kweli shuguli ipo bungeni..
Kwani ww unaongea nn hapa.. kwani tunaongelea mambo za line au internet suscribers kwaiyo mtu mmja akiwa na laini 5 ndo anahesabika ni watu 5??Kwenu km sikosei huruhusiwi kutumia kitambulisho chako ku register line za voda mara mbili..
Kwetu sisi hata line tano za safaricom unaweza miliki
Punguza maumivu
Ni lack of exposure inawasumbuaWakiskia internet users wazee wa south huwaza insta na page za udaku...
Kenya internet hatuitumii kisa kupekua page za udaku, View attachment 1625665View attachment 1625666
😂😂😂😂😂 education is importantKwani ww unaongea nn hapa.. kwani tunaongelea mambo za line au internet suscribers kwaiyo mtu mmja akiwa na laini 5 ndo anahesabika ni watu 5??
Kwn internet subscribers huaga ni line, we vipi bana..Kwani ww unaongea nn hapa.. kwani tunaongelea mambo za line au internet suscribers kwaiyo mtu mmja akiwa na laini 5 ndo anahesabika ni watu 5??
Duh!!sheria zote za nn hzo sasa, si heri mngeliweka km ni tatu au mbili toshaAlikudanganya nani kuwa haturuhusiwi?
Vitu kama huvijui achana navyo,
Unaruhusiwa kusajili line zaidi ya moja kwenye mtandao mmoja ila utaitajika kuzirasimisha (primary & secondary) mwenyewe kwa kuingia kwenye menu ya *106#
Kwani shida iko wap hapaKwn internet subscribers huaga ni line, we vipi bana..
Kwn kitu km google account kina maana gani katika device
Wewe ndo unanambia kenya mnaruhusa ya kuwa na laini 5 kwaiyo ndo unambie kama unalaini 5 za safaricom manake hapo ni users 5??Kwn internet subscribers huaga ni line, we vipi bana..
Kwn kitu km google account kina maana gani katika device
😂😂😂😂😂 education is important
Wakenya mpo million ngap?maana likija jambo la gdp per capital oooh tuko million 50 tu sasa hao 54 wanaotumia simu ukichanganya na waliobaki watoto hamfiki million 70 nyie?Mnalialia nn na wakati watu wa statistics wamewaeka chini yetu hata kw mobile subscriptions...
Itabidi muende mkawahonge na nyie km tulivyofanya sisi..
Nchi iliyojaa wazembe wa fikraView attachment 1625663View attachment 1625664




kwahyo sasa tuamini nn kuhusu kenya jamanTerminal ama udubwasha ile ya zenji, jiwe kashtushwa na sgr, thika superhigway, flyovers, footbridges, interchanges n.kwewe mjinga kweli cruise terminal ya Zanzibar tuli-refer wapi? Wakati ipo kabla ya Mombasa?
Unaelewa maana ya "zaidi ya moja"Duh!!sheria zote za nn hzo sasa, si heri mngeliweka km ni tatu au mbili tosha
Internet users unajua wanaangaliwaje, tuanzie hapo kwanza..Wakenya mpo million ngap?maana likija jambo la gdp per capital oooh tuko million 50 tu sasa hao 54 wanaotumia simu ukichanganya na waliobaki watoto hamfiki million 70 nyie?kwahyo sasa tuamini nn kuhusu kenya jaman


Wewe ulisema kuzirasimisha kw menu wala hukutaja sheria huru hapoUnaelewa maana ya "zaidi ya moja"
Hivi ni lugha ipi huwa mnaimudu 100%?


Nisaidie kufikiri kama mkenyaInternet users unajua wanaangaliwaje, tuanzie hapo kwanza..
Lkn tuusan mi sikujui na unenguaji, au kwa akiki zako wanahesabu raia![]()
Kisha hapa.Alikudanganya nani kuwa haturuhusiwi?
Vitu kama huvijui achana navyo,
Unaruhusiwa kusajili line zaidi ya moja kwenye mtandao mmoja ila utaitajika kuzirasimisha (primary & secondary) mwenyewe kwa kuingia kwenye menu ya *106#
Kisha umalizie na hii.Unaelewa maana ya "zaidi ya moja"
Hivi ni lugha ipi huwa mnaimudu 100%?
Wewe ulisema kuzirasimisha kw menu wala hukutaja sheria huru hapo
Kwanza nina swali, voda mbili kwenu unaweza tumia kw simu tofauti