Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kweli hata kidogo, kwenye youtube majority ya Kenyans interkectuals wameanza kulalamikia huu mfumo wa ugatuzi kutokana na hali ya uchumi wa Kenya sio sustainable kabisa, gharama za kuendesha serikali is unberable kwa uchumi wa Kenya 52% ya Government revenual inaenda kulipa mishahara tu, katika hiyo mishahara 72% ni politicians.

Hii system ya ugatuzi sisi tuliijaribu enzi za Nyerere na tukaona haiwezi kufanya kazi katika mazingira yetu. Kenya mkiendelea na hii system tegemeeni kukua kwa deni la taifa kwasababu pesa yenu mnayokusanya ni kwa ajili ya kulipa viongozi wenu, hakuna pesa itabaki kwa ajili ya Development projects na kutoa huduma za jamii, mtaendelea kukopa tu
Bado haujaelewa devolved government system, you are running with opinions and cons expressed, nimekuambia look at the pros za county gov't system!., equal development across, equitable share of revenue, counties are developing themselves, some have started generating revenue some are still rooting as they establish themselves., it is the best so far. Don't merely cherry pick the negatives and conclude, get an objective analysis then draw a conclusion.
 
Sio kweli hata kidogo, kwenye youtube majority ya Kenyans interkectuals wameanza kulalamikia huu mfumo wa ugatuzi kutokana na hali ya uchumi wa Kenya sio sustainable kabisa, gharama za kuendesha serikali is unberable kwa uchumi wa Kenya 52% ya Government revenual inaenda kulipa mishahara tu, katika hiyo mishahara 72% ni politicians.

Hii system ya ugatuzi sisi tuliijaribu enzi za Nyerere na tukaona haiwezi kufanya kazi katika mazingira yetu. Kenya mkiendelea na hii system tegemeeni kukua kwa deni la taifa kwasababu pesa yenu mnayokusanya ni kwa ajili ya kulipa viongozi wenu, hakuna pesa itabaki kwa ajili ya Development projects na kutoa huduma za jamii, mtaendelea kukopa tu
...yes kumekua na challenges which are teething problems in any new system., as time moves on it is being proven to be the best, the greatest challenge is corruption among county officials, despite that kuna delivery of services and development in marginalized areas which was like a complex puzzle before.
 
Palm Village Mall

IMG_2972.jpg

IMG_2971.jpg

IMG_2974.jpg

IMG_2973.jpg

IMG_2963.jpg

IMG_2960.jpg

IMG_2956.jpg

IMG_2955.jpg

IMG_2939.jpg
 
Sio kweli hata kidogo, kwenye youtube majority ya Kenyans interkectuals wameanza kulalamikia huu mfumo wa ugatuzi kutokana na hali ya uchumi wa Kenya sio sustainable kabisa, gharama za kuendesha serikali is unberable kwa uchumi wa Kenya 52% ya Government revenual inaenda kulipa mishahara tu, katika hiyo mishahara 72% ni politicians.

Hii system ya ugatuzi sisi tuliijaribu enzi za Nyerere na tukaona haiwezi kufanya kazi katika mazingira yetu. Kenya mkiendelea na hii system tegemeeni kukua kwa deni la taifa kwasababu pesa yenu mnayokusanya ni kwa ajili ya kulipa viongozi wenu, hakuna pesa itabaki kwa ajili ya Development projects na kutoa huduma za jamii, mtaendelea kukopa tu
....and again the reason for ballooning debt ni kwasababu ya national gov't huge projects, trying to implement vision 2030 blue print and recurrent expenditure(an issue across African economies, Tz included), at some point it hurts service delivery, I take such projects as investments where people suffer for a time but when the infrastructure start bearing fruit the economy expands fast.
 
Why then you can't buy food instead you depend on food donations From Arabs?. Why your People die yearly if you have money to buy from other countries?
Ooh I haven't heard any Kenyan dying of hunger this year
We buy food from Tanzania Ethiopia Uganda Rwanda
We export cash crops to eu, USA and China
 
Unasema mume fight for 15 yrs mm nikajua mumetafuta pesa zenu kumbe mchina kaja kuwakamua baada ya sgr white elephant😂😂😂
Sgr white elephant aje na job inachapa wakati bado trains hamna,wivu itakuua,,hii expressway itakupa headache sana pole lazima ujengwe
 
Wacha tukamuliwe maziwa tunayo nyingi..go Nairobi go,,am happy to see such a huge road rising in my motherland country,,I love u Kenya,,Uhuru tano tena,🤣so sweet indeed
Kenya imepoteana kwa kweli,huku madeni mob,kule screpa a.k.a chuma chakavu kimenunuliwa kwa ajili ya the so-called commuter,huku chun ching anakamua kwa SGR,chun ching mwingine naye anajiandaa kukamua for 27 years....

Sasa zile dollar wanazokopa wanafanyia nini?!!..au kunyatta na ruto wanatia kwa mifuko zao
 
Back
Top Bottom