Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_2020-11-13-00-39-58.jpeg
 
Mosi, kundamana Tanzania lazima uwe na kibali, wale walioanzisha maandamano hawakuwa na kibali hivyo watanzania waliamua kuwapuuza. Kumbuka nimekueleza hapo mwanzo kuwa Watanzania ni kama pweza.

Pili, acha kukaririshwa kuwa maandamano ndiyo demokrasia.

Kwenye chaguzi zetu hasa hizi nchi za Afrika, Amerika kusini na baadhi ya nchi za Ulaya mashariki, maandamano hutumika kama njia ya kuleta machafuko, Ili kuondoa utawala halali uliowekwa na wananchi. Serikali yoyote makini haiwezi kukubalia watu wachache waiharibu nchi.
Sema katika nchi maskini, lkn wanazojielewa hawatumii maandamano katika mambo ya siasa pekee bali pia kudai haki zao..
 
Huku tunaamini kama sio chako huna sauti.
Na ukiwa na chako punda yeyote hana kelele...

I don't have to tell you that... It's obvious. Hata Uhuru knows

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hehehe!!wazee wa kuajiriwa kifalambwanga, yani unatia sahihi bila ya kmhta kuusoma mkataba unasema nn kisa uzembe
 
Kuna watu wanaionea donge
Wanga saizi wapo mizimu wananengua pabomoke..

Jiwe si anapenda ku refer vitu kutoka kenya, alipe hyo sasa
Manake kajaribu thika ikaangukia puani
Kubaka highway 19km bado iko kichakani. Expressway hawezi dhubutu ata yeye anajua ligi yake sio ya juu hivo.
 
Hahaha,my friend wacha na infrastructure projects, expressway imetake more than 15yrs to come true,so usidhani sgr, Greenfield,oil pipeline and likoni bridge are dead,,pole Sana zote ziko Vision 2030 so relax,,you can't beat Kenya in agri business never
LOL sasa ninyi tu kujilisha mnahitaji msaada wa muarabu, kupambana na Tanzania inayowalisha kwa 90% ndio mtaweza kweli? Au agribusiness ina maana tofauti niijuayo?
 
A good move, lakini kwa opinion yangu, county government system in Tanzania can work 'magic', more than that! Serikali ya majimbo inaweza peleka Tz kwa mwendo wa kasi, yaani economy will be Turbo charged! Mtazamo wangu kutokana na vile nimeona impact yake hapa Kenya, na Tz is full of natural resources almost all around the country.
Sio kweli, tulijaribu serikali za majimbo enzi za Nyerere na ikashindikana, hasara ni kubwa kuliko faida, hata Kenya huo mfumo utashindikana, na tayari athari zake zimeanza kujitokeza hapo Kenya
1)Gharama kubwa za kuendesha serikali
2)Kuchelewa katika utekekezaji wa miradi ya nchi
3)Kuwepo kwa tofauti kubwa ya maendeleo miongoni mwa majimbo
4)Kuongezeka kwa ukabila
5)Kupungua kwa mshikamano na umoja wa kitaifa
6)Kuongezeka kwa rushwa
 
Sio kweli, tulijaribu serikali za majimbo enzi za Nyerere na ikashindikana, hasara ni kubwa kuliko faida, hata Kenya huo mfumo utashindikana, na tayari athari zake zimeanza kujitokeza hapo Kenya
1)Gharama kubwa za kuendesha serikali
2)Kuchelewa katika utekekezaji wa miradi ya nchi
3)Kuwepo kwa tofauti kubwa ya maendeleo miongoni mwa majimbo
4)Kuongezeka kwa ukabila
5)Kupungua kwa mshikamano na umoja wa kitaifa
6)Kuongezeka kwa rushwa
Tanzania haijawahi kuwa na serikali za majimbo!
 
Sio kweli, tulijaribu serikali za majimbo enzi za Nyerere na ikashindikana, hasara ni kubwa kuliko faida, hata Kenya huo mfumo
Kwa jinsi nilivyozielewa falsafa za mwalimu kuhusu kufanya kazi kwa pamoja kama wajamaa, hii itakuwa ilinipita. Nikumbushe kidogo, ni lini tulikuwa na serikali ya majimbo Tanzania?
 
Wacha tukamuliwe maziwa tunayo nyingi..go Nairobi go,,am happy to see such a huge road rising in my motherland country,,I love u Kenya,,Uhuru tano tena,🤣so sweet indeed
27 good years munalipa wa china kwa toll 😂😂😂 600ksh per car aiseee mchina amaeishika dunia
 
Hahaha,my friend wacha na infrastructure projects, expressway imetake more than 15yrs to come true,so usidhani sgr, Greenfield,oil pipeline and likoni bridge are dead,,pole Sana zote ziko Vision 2030 so relax,,you can't beat Kenya in agri business never
15 yrs mujenge kwa pesa zenu sio munaenda kuwakamua wakenya maskini tena kullipa wa china kwa miaka 27 tena huoni ni akili au mifupa😂😂😂
 
Back
Top Bottom